Na unakuta mtu ana mke mzuri tu ndaniWanaume mnayaona mengi kwa hali hiyo
Mtihani tunao
Na unakuta mtu ana mke mzuri tu ndaniWanaume mnayaona mengi kwa hali hiyo
Ndo hapo wanapopata watoto wenye sura za mizengo pinda ama anne makinda

Mima usiseme wanaume.coz unawajumlisha na wale ambao hawana hizo tabia. Sema baba ako wa kambo anatafuta nini.Katika mizunguko yangu jana maeneo ya kariakoo katika pilika zangu za hapa na pale kama unavyojua kariakoo na pilika hizi za x mass.
Daaaah si ndio kuna duka moja nimeingia sijaamini nilichokiona.titifortati na baba yangu wa kufikia ana kimwali katoka kukifanyia shopping umri wangu nimejisikia aibu sana kwa hili tukio.kweli kwa umri wa yule mzee wa kuwa na binti wa umri wangu Mimi jamanii.
Ni baba yangu wa kufikia/wakambo hata hivyo ana wake wawili ambae ni mama yangu na mke wake mwingine sasa Ina maana wake wote wawili wameahindwa kumlidhisha au ndio wazimu tu
Wanaume nyingi mungu anawaona.Hapa nilipo nimepanga sitaenda kiwatembelea mpaka ifike miezi mitatu mbele.kwani unataka mgundue nini?
Ksisi sio wasport sport tunamalizana hapa hapa ....wala hatuma Pm wala psBora nyie hamuendagi PM![]()
![]()
![]()
![]()
Huoni wanaume mwenzio huko juu wanavyosema mwanaume lazima ubadilishe radha hawa wapo kundi gani naoMima usiseme wanaume.coz unawajumlisha na wale ambao hawana hizo tabia. Sema baba ako wa kambo anatafuta nini.
Real gentlemen hawana tabia za kijinga.
Yahni nimeshindwa kumuelewa kabisaamzee anataka damu changa huyo....
Upuuzi, unamlilia wivu baba yako unataka akukanyage wewe!


Man-up chief.we kiboko si kwa mbebisho huu mwenzio hoiiiii hukuu 😉Maisha hupotezi ila cha moto lazima ukione , raha inazidi mpaka unahisi mwili kuishiwa nguvumie niwako tuuu ....... Jichunge mama kamwe sipendi ije itokee hii![]()
![]()
![]()
napokua nmekosea ,,wee nifungukie tuuu ,nichane laivu tena kwamakavu laivu ,yote kwayote usikae kimya nikawa MTU wakujiuliza maswal kama huyu chaliii![]()
![]()
.... Weeee nichane laivu tuuu ili mradi mwisho wasiku mambo yawe yetu yawe hivi![]()
![]()
Haaaaaaaaaaa wewe unachapiaga sanaaaa hata wasap unachapiaga sanaaa unaishia kusingizia simu ngoja nikuchekeeBhana nimekosea kutype ni bonge ndio imekuja binge.....waswahili tunaelewana kibishi
Haaaaaaaa mkuu Penzi nipopote...Bora nyie hamuendagi PM![]()
![]()
![]()
![]()
Sasa hapo ndio ushangae ukimuangali mke na huo mchepuko mbingu na ardhi ...wananume wanauma na wanawake wanawaka ha ha ha ha haaaaaNa unakuta mtu ana mke mzuri tu ndani
Mtihani tunao
Uhakika baby !!!! .Ksisi sio wasport sport tunamalizana hapa hapa ....wala hatuma Pm wala ps
Kabisa kwa nini tujibanee....mapenzi yetu wenyeweeeee bhanaaUhakika baby !!!! .
Kusema kwa mama naogopaaaa mie bado mtotoNiliposoma neno "nimepanga" nikajua unaenda kusema kwa mama kumbe sivyo.
Una akili sana wewe.
Kuna usemi eti mwanaume ukimuwekea wanawake mia chagua mzuri kuliko wote bado ataumia kuwaacha wale 99 waliobakiKuna mwanaume ana wake 16, lakini kuna siku alishikwa ugoni akiwa na mke wa MTU. Ukweli ni kwamba baadhi ya wanaume wana tabia za jogoo anayetaka kumiliki tetea wote waliopo mtaani.
Haaaaaaa sasa km mie ni Kiboko wewe niwe kiboko si kwa mbebisho huu mwenzio hoiiiii hukuu 😉