DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,900
Wewe ni nani hadi unataka uwe na mwanaume wa peke yako ?Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa
Sent using Jamii Forums mobile app