Wanaume mnatafutaga nini?

Wanaume mnatafutaga nini?

Si ushukuru hao kumi wapo mikoa tofauti! Sisi wengine ndo ungezima kabisa



Anyway, usiwe serious sana katika haya maisha. Jifunze kuwa flexible sometimes, hakuna mwanaume wa kuwa na mwanamke mmoja.
 
Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Madhara ya kumchunguza sana bata ndiyo haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom