Wanaume mnatafutaga nini?

Wanaume mnatafutaga nini?

Kama unaumia si umrudie tu, kwann ujipe taabu
Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu vipi, mbona kuna ukweli hapa, uzinzi wa kiwango hiki ni wa kishetani kabisa, Bora ningekuta mmoja tungezungumza nini amekosa kwangu nijue la kufanya, sasa wanawake 10 halafu wote wanachart kiromantic jamani anatafuta nini kama sio ushetani
Kwahiyo Shetani ndio ana mademu zaidi ya 10?

Huwezi kuandika mada yako bila kumsingizia shetani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kwa yaliyokusibu,ila naomba jiulize swali dogo tu ,umegegedwa na wanaume wangapi na je uliwahi kumwambia ukweli huyo mpenzi wako?ama ni zile drama za ni wewe tu,,
Mhimu mpende kama anavyoonyesha kukupenda ,hayo mengine acha kihelehele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hawajui nini wanataka. Wanajazana ujinga tu wakifikiri sifa. Mafurushi.
 
Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachache wanafurahia,wengi wao wanalia.
Pole mwaya utakua sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshajua hiyo ni sumu, kuendelea kupenda sumu ni kuchagua kutojipenda wewe mwenyewe, maisha yako yanaweza kuendelea bila yeye, kuna kipindi katika maisha yako hukua naye, basi amini inawezekana kuishi bila kua nae. Anza kukata mawasiliano nae kidogo kidogo mpaka atapotea kwenye mawazo yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana mkuu

Haijalishi mkuu, nini maana ya ndoa? Nikipata maradhi nitalia na Nani?, Alikuwa na nafasi ya kufanya hivyo kabla ya ndoa ningefikiri anatafuta wife material, lakini ameshaoa anatafuta nini? Hakuna upendo mzuri wa kumwonyesha mwenzi wako zaidi ya heshima na uaminifu, mengine ni kutimiza majukumu tu sio upendo

Back
Top Bottom