Wanaume mnatafutaga nini?

Wanaume mnatafutaga nini?

Kila mwanamke huwa anasema hivyo.
Kuwa sinauwezo wa kuhudumia wawili lakin kabla ya kuolewa ulikuwa nao zaidi ya watatu.
Komaa na huyo maana huwezi kumpata malaika. Badirisha wa kwako.
 
Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo Shetani ndio ana mademu zaidi ya 10?

Huwezi kuandika mada yako bila kumsingizia shetani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuikimbia nchi kwa vile inanyesha, utaikimbia kila nchi, maana IT RAINS EVERYWHERE
 
tatizo ni kwamba hawa wanawake wakipendwa na mtu ambae yupo serious wanamkataa wao wanataka mahandsome boy na wenye hela... mtazd kuumizwa sana
 
Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa

Sent using Jamii Forums mobile app
ukimchunguza sana bata utashindwa kumfaidi
 
Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa

Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo ulinikataa ukasema mimi mfupi,hadi ukaniita mbili kimo,yani nilikupenda hadi nikajihisi kufa kufa hivi,nililala siku tatu bila ya kula,ulinitusi na kunikejeli sana,lakini leo unakuja na kulalamika mitandaoni,kweli ulimwengu hadaa na dunia ndio shujaa acha ulimwengu ukufunze.
Alisikia lmevi mmoja akiwaza baada ya kulewa kidooooogo.
 
Mkuu, nihurumie kidogo halafu unifariji kwa maneno

Back
Top Bottom