Swali zuri sana hilo.Mwanaume mwezio anapaka mafuta na yuko uchi wewe unamkazia macho, unataka uone nini??
Aisee; kazi kweli kweli nyie vijana. Yan mwenzio ametoka kuoga na anajipaka mafuta (or whatever)wewe umejibanza hapo unaangalia eti kajipaka wapi na wapi, halafu unakuja fasta kupandisha uzi hapa? -An Idle mind is Satan's workshop. Katafute pesa wacha kuangalia makalio ya mwenzako.
Kipenzi ahsante na kwako pia [emoji179]Mamy wangu uwe na sikuu njema yenye bashasha na furaha Tena na Tena nawaone Gere mwamwamwa mamy wangu [emoji179][emoji3059][emoji1635][emoji177]
Mwanaume alie pauka ngozi, anae nuka mdomo na Jasho anipitie mbali.
Umehoji au umeunga mkono ?Lazima apake mwili mzima
NakaziaMwanaume alie pauka ngozi, anae nuka mdomo na Jasho anipitie mbali.
Umehoji au umeunga mkono ?
mwanaume anatumia spray kama *****
[emoji23] wacha nisijue mahaba, baby asiepaka mafuta simtaki mimi.Hujui mahaba[emoji16][emoji16] hukwanguliwi unatekenywa![emoji28][emoji28]
Mwanaume unakuaje na ngozi laini kama sponji banaHabari za wakati huu ndugu zangu.
Kwa masikitiko makubwa nawakanya wale wanaume wanaopaka mafuta mwili mzima kama wanawake waache hizo tabia za kike.
Unakuta umekaa zako geto na mshikaji pale ametoka kuoga anaanza kujipaka mafuta mwili mzima mpaka kwenye makalio kwa kweli inasikitisha sana.
Sasa kama unajijua wewe unatabia hii acha mara moja nasio vinginevyo
Hata kama ni school boy, hiyo tabia inayomnyemelea haitamwacha salama.Tumefikia huku?
Alafu mleta uzi inakuaje mpaka leo unaishi na mwanaume mwenzio chumba kimoja, are you a school boy?
Simply ni kujipenda, being a gentleman unatakiwa kujali afya ya mwili na muonekano wako, then kuna hawa school boys kwao kuwa rough, wachafu na kunuka kikwapa ndio uanaume, wanajiita wagumu., Stupid!Maoni
Kuwa mwanaume lazima apake mafuta mwili mzima na deodorant apakae perfume sio lzima
Ni sahihi. Mtu yeyote Timamu ni lazima ajipende -maisha yenyewe ndo haya.Maoni
Kuwa mwanaume lazima apake mafuta mwili mzima na deodorant apakae perfume sio lzima
Kweli mwanaume anukie vizuriSimply ni kujipenda, being a gentleman unatakiwa kujali afya ya mwili na muonekano wako, then kuna hawa school boys kwao kuwa rough, wachafu na kunuka kikwapa ndio uanaume, wanajiita wagumu., Stupid!