Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,155
- 137,166
Sawa mkuu tuseme sio kauli ya Trump,but yeyote aliyesema hivyo huoni kama alisema ukweli mchungu kutuhusu Waafrica?Leo kamata simu za mwanaume&mwanamke wa kitanzania ingia phone book search majina ktk kumi wanane utakuta wana No za michepuko inayozidi mitano.
Oh yeah...kilichosemwa ni kina ukweli mwingi tu na nahisi kimesemwa na Waafrika wenyewe lakini wakaamua kumsingizia Trump [kwa sababu pengine walidhani wakisema Trump ndo kasema basi watu watasikiliza].
Kwa hiyo, mimi sikatai uhalali wa kilichosemwa. Nakataa tu watu wanapodai kuwa Trump ndo kasema.
Kwanza, Trump hana time kabisa na Afrika. Pili, hajawahi kabisa kusema hayo. Kusema Trump ndiyo kasema ni uzushi tu.
Na ndiyo maana huwezi kupata chanzo chochote kile kilicho cha uhakika ambacho kiliripoti hiyo habari.