ngafu.fijo
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 1,240
- 1,102
Mweeeehh......
Nani huyooooo? jaribu kwengine uone moto wake hiiiiiiiiii umekutana na mwanafunzi tupo watu tulifundwa na wajomba zetu namna yakumuweka vizur mwanamke mpaka analia kabla sijampandilia mpaka utasema jamani ulikuwa wapi Kupataaa na utakuwa umepata kitu cha ukweli nakwambia Exceptional lady! nicheki afu nitakuonyesha mambo yanavyoenda utakubali mwenyewe!!jamani mwanaume unatia aibu...romans hauwezi,kazi nayo huwezi,ukiingia dakika sifuri chaliiiii.....mapenzi ni raha na sio karaha ya kuchafuan kwa bao la dakika sifuri....khaaa stukeni jamaniiiii
Hahahaha mweeh kazi ipo kwakweli harufu mtu Wa hivyo waweza kuta nae eti anamichepuko kazi haiwezi harafu anaongeza mtu lo!The perfect wapi ndg yngu.... wanakurufuka ka bata utasikia haaa haaa dakik mbili kwsha hbar yke... wanachfua sana kupka wenzao mijasho yao.. halafu utalickia linakuuliza wee tayar kha!![]()
Kua muwazi ni jambo zuri, ni vema wote turidhishane bhana.There is time for everything,
Time kufikiria vitu vya maendeleo, na time to think of pleasure
Haki ya ngono?
Cjaongelea haki anywhere na wala cna haja ya kutaka haki coz gat my own
Neno JIPU linakuwa clìchéd sana!Nawe jipu ww
Upo na mwanamke mmekaa wewe unawaza mipango yakupata pesa mpate maendeleo lenyewe badala liku-boost akili bwana fanya hivi fanya vile ukibutua tutasogea siku mbili tatu,anaanza kukuchokoza kutaka kupigwa mashine,masikini ya Mungu mwanaume na mawazo yako performance inakuwa ndogo kutokana na mawazo yako,yeye mwanamke badala atulie akufariji yeye huyo mbio Jamiiforums kufungua thread,wanawake muwe mnaangalia mtu yupo ktk mood gani sio kila wakati mwanaume atafanya ngono kwa viwango mnavyovitaka nyie,vichwa vinawaza mambo mengi hivi msichukulie simple.Hakuna kingine mkuu ni ngono na utapeli tuuuu ndio maana tunatawaliwa kila uchwao
Ndio maana kuna usemi unasema penye maendeleo basi ujue kuna mkono wa mwanamke nami nasema popote pale penyewe umasikini bas ujue mwanamke ana mkono wake hapo...Upo na mwanamke mmekaa wewe unawaza mipango yakupata pesa mpate maendeleo lenyewe badala liku-boost akili bwana fanya hivi fanya vile ukibutua tutasogea siku mbili tatu,anaanza kukuchokoza kutaka kupigwa mashine,masikini ya Mungu mwanaume na mawazo yako performance inakuwa ndogo kutokana na mawazo yako,yeye mwanamke badala atulie akufariji yeye huyo mbio Jamiiforums kufungua thread,wanawake muwe mnaangalia mtu yupo ktk mood gani sio kila wakati mwanaume atafanya ngono kwa viwango mnavyovitaka nyie,vichwa vinawaza mambo mengi hivi msichukulie simple.