Wanaume: Mnajisikia vipi mnavyoombwa pesa?

Wanaume: Mnajisikia vipi mnavyoombwa pesa?

Mimi sioni tatizo la kuomba pesa na wakati huo huo mwanaume mwenye kujitambua hasa ukichukulia kwamba wewe ni mwanafunzi (nategemea ni wa chuo) hahitaji kusubiri mpaka umuombe pesa ndiyo akupe hasa ukitilia maanani mahitaji mbali mbali ya mwanafunzi.
 
Yaani nyie wanafunzi tena wa CBE mnamizinga sana unataka hela kubwa Mimi siku ya kwanza anataka mtoto tukale Selena mshahara wangu laki Tisa nakulala Selena wapi na wapi na Mimi .
 
Acha kabisa dada yangu
Nakushauri mimi kama mmoja wa WANAUME mara nyingi msichana anayekuwa na ujasiri wa kuomba pesa tunamchukulia kama chombo cha starehe..
.......na sisi imani yetu ni kuwa mwanamke akikupenda hawezi kukuomba pesa anakuwa na aibu.
.......na pia wanaume tunafurahi moyoni tunapotoa kitu bila kuambiwa(kuombwa) kuliko pale tunapoombwa.
........hatokuonyesha kama anakudharau ila utakuja kugundua kuwa hana malengo na wewe hapo baadae
You have a point. Lakini tatizo ni moja tu..huwa hamtoi kama hamjaombwa. Upo na mtu zaidi ya mwaka hata vocha tu hajawahi kukununulia.
 
Mimi sioni tatizo la kuomba pesa na wakati huo huo mwanaume mwenye kujitambua hasa ukichukulia kwamba wewe ni mwanafunzi (nategemea ni wa chuo) hahitaji kusubiri mpaka umuombe pesa ndiyo akupe hasa ukitilia maanani mahitaji mbali mbali ya mwanafunzi.
Umeongea point aisee
 
Kuombwa hela siyo tatizo, wala kumsaidia mpenzi au rafiki yako kwa kumpa fedha siyo tatizo. Kwangu mimi, nadhani hata kwa wanaume wengi, tatizo huwa ni pale ninapoombwa hela kama malipo ya kitu fulani. Hapo ndo wanawake wengi hukosea, kwa kuomba hela kama malipo ya aidha kuwa rafiki tu au kufanya mapenzi. Ikiwa hivyo basi inakuwa siyo urafiki tena ni biashara, tit-for-tat. Kumsaidia kifedha rafiki au mpenzi ni kitu cha kawaida, hasa anapokuwa na hitaji fulani, au hata asipokuwa na hitaji basi unampa tu just for fun. Lakini mdada anayetegemea kuomba hela kila baada ya 'kakitu' basi huyo siyo rafiki wa kweli.
 
Wasichana wa siku hizi wamegeuka MATONYA( ni kuomba kwa kwenda mbele kama vile hawana wazazi)

Binafsi mwanamke akiniomba hela huwa najisikia vibaya naweza hata kuugua, na Mara nyingi huwa ndio inakuwa mwisho wa mahusiano yetu
 
Akitoka kupiga kizinga kwa hoja ya kuwa ni lazima "atunzwe" anakuja kudai haki sawa na mwanaume na hataki kuitwa kiburudisho kama awaitavyo mkandamizaji. We mfugo tu halafu unataka haki sawa na mfugaji!
 
Kuomba si tatizo ila matumizi yawe kwa mambo ya msingi. Halafu zingatia kipato cha unayemuomba. Siyo unaomba vitu vilivyo juu ya uwezo wake maana atakuiba kero na kukumbia kabisa. Hata hivyo huna haja ya kupata shida wakati uwezo wa kukusaidia anao labda kama hakupendi.
 
You have a point. Lakini tatizo ni moja tu..huwa hamtoi kama hamjaombwa. Upo na mtu zaidi ya mwaka hata vocha tu hajawahi kukununulia.
that's the problem..hatoi adi uombe..and anataka akuone na muonekano mzuri
 
Mnatuona Mabuzi mimi ukiomba pesa nakuita Chura ukiitika nakupatia...
 
Anaonekana mkwongwe huyu.

Hii ni alternative ID in case invisible does something bad......
Sure mkuu, inaonekana ana ID nyingine inayojulikana akaona aunde nyingine
 
shda yenu ni kukremisha ukiwa na mtu mpaka umuombe hela ni ya nini hiyo hela unayoshindwa omba wazazi wako ? au kisa jamaa unampa papuch kwan huwez mpa kwa kujitolea?
 
shda yenu ni kukremisha ukiwa na mtu mpaka umuombe hela ni ya nini hiyo hela unayoshindwa omba wazazi wako ? au kisa jamaa unampa papuch kwan huwez mpa kwa kujitolea?
Labda awe amekupenda kwa dhati kabisa....
 
Back
Top Bottom