SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 4,800
- 8,989
- Thread starter
- #141
Baba yangu kafarikiUzi ulitakiwa uanze na 'Baadhi ya wanaume' umekosea sana kuwajumuisha baba yako na kaka yako kwenye uzi mmoja
Baba yangu kafarikiUzi ulitakiwa uanze na 'Baadhi ya wanaume' umekosea sana kuwajumuisha baba yako na kaka yako kwenye uzi mmoja
Acheni umarayaUngekua mwanaume ungeelewa inavyokua kwanza ujue starehe namba moja ya mwanaume ni papuchi hasa ikiwa mpya kwake ni kitendo cha kufurahisha moyo unapokutana na tundu jipya.
Pili wanaume wako makin hasa wanaonunua malaya kinga kwanza au upime maana hali mbaya labda uwe mwanaume ziro brain.
Tatu ni sababu za nature wanawake wa nne wanawaza kuingiliwa na kutawaliwa na mwanaume mmoja ila mwanaume mmoja kwa mwanamke mmoja hatoshi
Eh haya shauri yenuPesa tutafute kwa jasho halafu nisile maisha,nakula mbunye safi hayo mapepo yatakimbia yenyewe
Hilo limdomo lako huwa akili miguuni kwani nani kasema ni mimi na isitoshe umeoa yakazi gani??Ahahahahaaaa..!!
BTW, kwa mfano, huyo anayetafutwa ili "akaliwe" na huyo mwanaume, ni wewe, je.!! Una hizo UTI, gono, kaswende etc???
Mnajitetea acheni umalaya na dhambiMwanamme hekaheka. Ukipoa una boa
Noma sana!Tangu dunia ya Adam hadi hii ya Putin watu wanakulana na uzinzi hufanywa kila sekunde na mvua hunyesha, na wakati mwingine hugoma tu.
Mwaka jana mvua ilinyesha za kutosha. Je watu hawakufanya uzinzi sio?
monde arabeNoma sana!
Ajali kazini na ajali haina kinga.Unaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe unachakata papuchi tu.
Ukiamka asubuhi unajikuta huna hata mizigo uliokuja nayo kaiba kila kitu .
Au unakutwa umekufa ulikuwa umesomewa ramani tokea stendi. Unakufa kiboya kisa starehe za muda mfupi.
unatolewa kwenye taarifa za habari umezima , ukiwa na taulo la gesti shida inakuwaga nini eti?? Hamuwezi kula baada ya kutoka safari.
Unakuta wengine wachawi wanakula hadi allowance ya uliyopewa ofisini unaanza kukopa , au mtaji wa kitu kilichokuleta hebu acheni ujinga . Acheni.
Kingine unakuta kakupa UTI, gono ,kaswende , au busha zinavimba au unaotwa malenge lenge , jingine ukute umeambukizwa ukimwi sasa shida yote yanini????.
Eti ?????
Sema tu unamke mzuri anaheshima anajipenda na hana kasoro kakuzalia ila umekuwa keroo tu mnaboa aisee .
Tulieni basi hata muweze kulea mliowaleta duniani ndio maana mnatekwa mnakutwa mmekufa kisa watoto wa watu wake.zawatu mnawachakata.
Goodevening Equation x
Wanaume mna balaa😁😁Utaambiwa kufa mapema nao ni uanaume. Mwanaume unatakiwa ufe mapema 😄
Nimesema mfanoo..!! 😀 😀 😀 😀 nimecheka kwa kutumia LIMDOMOHilo limdomo lako huwa akili miguuni kwani nani kasema ni mimi na isitoshe umeoa yakazi gani??
Hahahaa we jamaa bhana, kwahiyo pass mbili nyavu?Ukisikia counter attack, ndo hii sasa..!!
Hata moja tu, wayaaaHahahaa we jamaa bhana, kwahiyo pass mbili nyavu?
CC SweetyCandyMbona na wewe ulisema siku ile kwamba umewachoka wakaka wa JF waongo,wewe ulivyokutana nao ulikuwa unawajua??I miss you
Unataka nije kufokewa tu😅
Tutamchangia usijali.Unataka nije kufokewa tu😅
Una hoja usikilizwe 😂, ila watu wana risk sana aseeHuu uzi umekuja kinyumenyume. Ujasiri wa mwanamke kukubali kuingia chumbani na mwanaume usiyejua katokea wapi. Wanaume wengine wamekimbia noma kubwa kama za mauaji au kutoroka jela lakini mnakuwa comfortable kujifungia naye chumbani, tena mnalala chali na kutanua miguu, hamuogopi kuchinjwa? fear who don't fear women.
kmmmke 😁Hata moja tu, wayaaa