SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 4,800
- 8,989
Dah ! Mpenzi tena??? Mie sitaki namtafuta mume saiiii nimechoka kuwa mupenzii tuNipe ruhusa niwe mapenzi wako
tester Dumas the terrible braza maghayo anakupa hiHuu uzi umekuja kinyumenyume. Ujasiri wa mwanamke kukubali kuingia chumbani na mwanaume usiyejua katokea wapi. Wanaume wengine wamekimbia noma kubwa kama za mauaji au kutoroka jela lakini mnakuwa comfortable kujifungia naye chumbani, tena mnalala chali na kutanua miguu, hamuogopi kuchinjwa? fear who don't fear women.
Naye huyo anayeletewa hajui kama mimi ni jambazi, serial killer....Unaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe unachakata papuchi tu.
Ukiamka asubuhi unajikuta huna hata mizigo uliokuja nayo kaiba kila kitu .
Au unakutwa umekufa ulikuwa umesomewa ramani tokea stendi. Unakufa kiboya kisa starehe za muda mfupi.
unatolewa kwenye taarifa za habari umezima , ukiwa na taulo la gesti shida inakuwaga nini eti?? Hamuwezi kula baada ya kutoka safari.
Unakuta wengine wachawi wanakula hadi allowance ya uliyopewa ofisini unaanza kukopa , au mtaji wa kitu kilichokuleta hebu acheni ujinga . Acheni.
Kingine unakuta kakupa UTI, gono ,kaswende , au busha zinavimba au unaotwa malenge lenge , jingine ukute umeambukizwa ukimwi sasa shida yote yanini????.
Eti ?????
Sema tu unamke mzuri anaheshima anajipenda na hana kasoro kakuzalia ila umekuwa keroo tu mnaboa aisee .
Tulieni basi hata muweze kulea mliowaleta duniani ndio maana mnatekwa mnakutwa mmekufa kisa watoto wa watu wake.zawatu mnawachakata.
Goodevening Equation x
Unaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe unachakata papuchi tu.
Ukiamka asubuhi unajikuta huna hata mizigo uliokuja nayo kaiba kila kitu .
Au unakutwa umekufa ulikuwa umesomewa ramani tokea stendi. Unakufa kiboya kisa starehe za muda mfupi.
unatolewa kwenye taarifa za habari umezima , ukiwa na taulo la gesti shida inakuwaga nini eti?? Hamuwezi kula baada ya kutoka safari.
Unakuta wengine wachawi wanakula hadi allowance ya uliyopewa ofisini unaanza kukopa , au mtaji wa kitu kilichokuleta hebu acheni ujinga . Acheni.
Kingine unakuta kakupa UTI, gono ,kaswende , au busha zinavimba au unaotwa malenge lenge , jingine ukute umeambukizwa ukimwi sasa shida yote yanini????.
Eti ?????
Sema tu unamke mzuri anaheshima anajipenda na hana kasoro kakuzalia ila umekuwa keroo tu mnaboa aisee .
Tulieni basi hata muweze kulea mliowaleta duniani ndio maana mnatekwa mnakutwa mmekufa kisa watoto wa watu wake.zawatu mnawachakata.
Goodevening Equation x
Mgerasi ndio Kenge iliyo KuQuote kwenye kichaka chake kipya cha Busu la Kenge
Mbona hako kamalaika kwenye avatar picha yako hajafanana na Smart911 ?
😀😀😀Dah ! Mpenzi tena??? Mie sitaki namtafuta mume saiiii nimechoka kuwa mupenzii tu
Mume umepataDah ! Mpenzi tena??? Mie sitaki namtafuta mume saiiii nimechoka kuwa mupenzii tu
Kama una mume hakikisha unaparusha haswa kabla ya kusepaUnaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe unachakata papuchi tu.
Ukiamka asubuhi unajikuta huna hata mizigo uliokuja nayo kaiba kila kitu .
Au unakutwa umekufa ulikuwa umesomewa ramani tokea stendi. Unakufa kiboya kisa starehe za muda mfupi.
unatolewa kwenye taarifa za habari umezima , ukiwa na taulo la gesti shida inakuwaga nini eti?? Hamuwezi kula baada ya kutoka safari.
Unakuta wengine wachawi wanakula hadi allowance ya uliyopewa ofisini unaanza kukopa , au mtaji wa kitu kilichokuleta hebu acheni ujinga . Acheni.
Kingine unakuta kakupa UTI, gono ,kaswende , au busha zinavimba au unaotwa malenge lenge , jingine ukute umeambukizwa ukimwi sasa shida yote yanini????.
Eti ?????
Sema tu unamke mzuri anaheshima anajipenda na hana kasoro kakuzalia ila umekuwa keroo tu mnaboa aisee .
Tulieni basi hata muweze kulea mliowaleta duniani ndio maana mnatekwa mnakutwa mmekufa kisa watoto wa watu wake.zawatu mnawachakata.
Goodevening Equation x
Maisha bila Mikasa hayaendi, mambo ya wanaume waachie wanaume wenyewe. Kwa kifupi tuko makini sana tufanya risk analysis. Pia kuna mbinu za kiusalama siwezi kuandikaUnaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe unachakata papuchi tu.