Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,538
Dodoma kuzuri bhana, wageni mnakaribishwa kwa ajili ya kusoma. Kuna UDOM, Mipango, St John, CBE, Madini, uhasibu, ifm, Decca, hombolo e.t.c.
Hahahah Nilikua sijaiona hii daaMgerasi ndio Kenge iliyo KuQuote kwenye kichaka chake kipya cha Busu la Kenge
Maghayo is no longer existing, I have Already destroyed him violently .
Akitaka arudi kwenye Umongolian wake au Maghayo nimeweka sharti ajirekodi video akilia kama mbusi Kisha akubali kuwa yeye ni mwehu
Unaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe unachakata papuchi tu.
Ukiamka asubuhi unajikuta huna hata mizigo uliokuja nayo kaiba kila kitu .
Au unakutwa umekufa ulikuwa umesomewa ramani tokea stendi. Unakufa kiboya kisa starehe za muda mfupi.
unatolewa kwenye taarifa za habari umezima , ukiwa na taulo la gesti shida inakuwaga nini eti?? Hamuwezi kula baada ya kutoka safari.
Unakuta wengine wachawi wanakula hadi allowance ya uliyopewa ofisini unaanza kukopa , au mtaji wa kitu kilichokuleta hebu acheni ujinga . Acheni.
Kingine unakuta kakupa UTI, gono ,kaswende , au busha zinavimba au unaotwa malenge lenge , jingine ukute umeambukizwa ukimwi sasa shida yote yanini????.
Eti ?????
Sema tu unamke mzuri anaheshima anajipenda na hana kasoro kakuzalia ila umekuwa keroo tu mnaboa aisee .
Tulieni basi hata muweze kulea mliowaleta duniani ndio maana mnatekwa mnakutwa mmekufa kisa watoto wa watu wake.zawatu mnawachakata.
Goodevening Equation x