grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 4,014
- 5,653
Aende panapostahili, ila rekebisha kichwa cha uziBaba yangu kafariki

😅😅😅Hayo ndio mambo ya kiume Sasa, heka heka na mbilinge mbilinge kama hizo ndio zinatuweka sawa kichwani.
Mwanaume huwa hatuliii Hadi atulizwe na kitu kizito.
Lakini nyie wanawake Kuna umri ukifika mtulia wenyewe ila unakuta mwanaume ni kibabu lakini yumo tu, Yani humu tuuuu
Upigwe na nani, uoga wako tuNitqpigwa eti
Namume wangu mtarajiwaUpigwe na nani, uoga wako tu
Na hiyo anayekuja naye ni jasiri, maana unaenda kulala na mwanaume humjui, labda anachuna ngozi, labda mchawi, labda ana maumbile makubwa mno, labd wapo wengi, kwa sh 20k unaenda kulala nayeUnaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe unachakata papuchi tu.
Ukiamka asubuhi unajikuta huna hata mizigo uliokuja nayo kaiba kila kitu .
Au unakutwa umekufa ulikuwa umesomewa ramani tokea stendi. Unakufa kiboya kisa starehe za muda mfupi.
unatolewa kwenye taarifa za habari umezima , ukiwa na taulo la gesti shida inakuwaga nini eti?? Hamuwezi kula baada ya kutoka safari.
Unakuta wengine wachawi wanakula hadi allowance ya uliyopewa ofisini unaanza kukopa , au mtaji wa kitu kilichokuleta hebu acheni ujinga . Acheni.
Kingine unakuta kakupa UTI, gono ,kaswende , au busha zinavimba au unaotwa malenge lenge , jingine ukute umeambukizwa ukimwi sasa shida yote yanini????.
Eti ?????
Sema tu unamke mzuri anaheshima anajipenda na hana kasoro kakuzalia ila umekuwa keroo tu mnaboa aisee .
Tulieni basi hata muweze kulea mliowaleta duniani ndio maana mnatekwa mnakutwa mmekufa kisa watoto wa watu wake.zawatu mnawachakata.
Goodevening Equation x
Yule Kimambo mlishaachana?😅Namume wangu mtarajiwa
Kumbe ni mtarajiwa tu, mwenzako yuko bizę huko nje anachapa wengine akikuaminisha wewe ni wake wa moyo. Bongo hii shauri yako, nakupa offer ya kuliwa tena bure wewe unakataa?Namume wangu mtarajiwa
Umenena sahh. Kuna miaka flan baada ya kuita mzigo hotel nikamla, tulipomaliza tukawa tunapiga story za hapa na pale nikamuuliza hili swali. Nilianzia mbali kidogo kwa kuuliza "kwann unafanya hii kazi mdogo angu?" Akanipa sababu.Huu uzi umekuja kinyumenyume. Ujasiri wa mwanamke kukubali kuingia chumbani na mwanaume usiyejua katokea wapi. Wanaume wengine wamekimbia noma kubwa kama za mauaji au kutoroka jela lakini mnakuwa comfortable kujifungia naye chumbani, tena mnalala chali na kutanua miguu, hamuogopi kuchinjwa? fear who don't fear women.
Ana hoja msikilizeUnaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe unachakata papuchi tu.
Ukiamka asubuhi unajikuta huna hata mizigo uliokuja nayo kaiba kila kitu .
Au unakutwa umekufa ulikuwa umesomewa ramani tokea stendi. Unakufa kiboya kisa starehe za muda mfupi.
unatolewa kwenye taarifa za habari umezima , ukiwa na taulo la gesti shida inakuwaga nini eti?? Hamuwezi kula baada ya kutoka safari.
Unakuta wengine wachawi wanakula hadi allowance ya uliyopewa ofisini unaanza kukopa , au mtaji wa kitu kilichokuleta hebu acheni ujinga . Acheni.
Kingine unakuta kakupa UTI, gono ,kaswende , au busha zinavimba au unaotwa malenge lenge , jingine ukute umeambukizwa ukimwi sasa shida yote yanini????.
Eti ?????
Sema tu unamke mzuri anaheshima anajipenda na hana kasoro kakuzalia ila umekuwa keroo tu mnaboa aisee .
Tulieni basi hata muweze kulea mliowaleta duniani ndio maana mnatekwa mnakutwa mmekufa kisa watoto wa watu wake.zawatu mnawachakata.
Goodevening Equation x
AINA HII YA VIJANA MNA MCHANGO MDOGO SANA KWENYE KUPANUA SGRGet rich or die trying,
Get mbususu or die with upwiru
Hatari sana Bro, wenyewe hawana muda wa kufikiri hayo.Umenena sahh. Kuna miaka flan baada ya kuita mzigo hotel nikamla, tulipomaliza tukawa tunapiga story za hapa na pale nikamuuliza hili swali. Nilianzia mbali kidogo kwa kuuliza "kwann unafanya hii kazi mdogo angu?" Akanipa sababu.
Nikamuulizia "una exit plan?,kwamba after sometime ufanye shughulo zongine mbali na hiz?" Hakunipa jibubla maana.
Nikamwambia "jitahid uwe na plan, tafuta pesa kwa malengo,hii kaz yako ni hatar sana. Mfano umekuja humu ndani, mimi hunijui, hujui nina nini kwenye bag, huwenda ni mchuna ngozi je?? Na wewe ni binti mdogo sana, vipi kama mimi no jambazi nikakuua humu ndani?"
Vipi mzee katumia pesa yote ya biasharaUnaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe unachakata papuchi tu.