Wanaume mnajiamini sana aisee

Haha..huo sio ujasiri, ni chemical reactions na hormones zinakuwa zinafanyakazi - ubongo unakua haufanyikazi hapo, sio wewe tena. Akikojoa ndo hapohapo resett mode inafanyika anaanza kujiuliza nini kafabya.
 
Ushauri mzuri sana kwa wakware.
 
Aisee mleta mada umenikumbusha Iringa road ,kuna lodge moja ina mavyumba makubwa balaa na sebule yule mtu wa mapokezi hatari sanaa yaani alikuwa ananiletea mashibombo kwa bei elekezi hadi rahaa.Siku moja akachemka akaniletea libibi kizee nikataka kulifukuza weee ,linaniambia leo lazima unipige dudu ni bora uninyime hela huwezi kunisumbua kijinga kijinga.
Na mimi namaliza kama yule jamaa wa juu huko alivyomaliza ,yaani humu tuu.
Oiii.
 
Jamaa umeona nipo serious apo ama πŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ™ŒπŸΎ
 
🀣🀣🀣🀣
 
Ahahahahaaaa..!!
BTW, kwa mfano, huyo anayetafutwa ili "akaliwe" na huyo mwanaume, ni wewe, je.!! Una hizo UTI, gono, kaswende etc???
 
Ukisikia counter attack, ndo hii sasa..!!
 
Hata sisi wanaume tunashangaa huo ujasiri tunatoa wapi.

Lakini pia tungekosa huo ujasiri wamama wa bar na wasio na waume wasingepata watoto. Waoneeni huruma.

Halafu ujue nini, ni kwanini anaenda kumwambia mhudumu amtafutie. Anaweka tahadhari ili likitokea la kutokea anaanza na mhudumu. Akifa basi hana aibu yeye si amekufa!!!😎, Maiti anapataje aibu sasa.
 
Pesa tutafute kwa jasho halafu nisile maisha,nakula mbunye safi hayo mapepo yatakimbia yenyewe
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚eti kibabu
 
duh inatisha sana Mwenyezi Mungu atusamehe sisi wakosefu
 
Great thinker of the month.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…