Wanaume mnajiamini sana aisee

Wanaume mnajiamini sana aisee

Unaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe unachakata papuchi tu.

Ukiamka asubuhi unajikuta huna hata mizigo uliokuja nayo kaiba kila kitu .

Au unakutwa umekufa ulikuwa umesomewa ramani tokea stendi. Unakufa kiboya kisa starehe za muda mfupi.
unatolewa kwenye taarifa za habari umezima , ukiwa na taulo la gesti shida inakuwaga nini eti?? Hamuwezi kula baada ya kutoka safari.

Unakuta wengine wachawi wanakula hadi allowance ya uliyopewa ofisini unaanza kukopa , au mtaji wa kitu kilichokuleta hebu acheni ujinga . Acheni.

Kingine unakuta kakupa UTI, gono ,kaswende , au busha zinavimba au unaotwa malenge lenge , jingine ukute umeambukizwa ukimwi sasa shida yote yanini????.

Eti ?????
Sema tu unamke mzuri anaheshima anajipenda na hana kasoro kakuzalia ila umekuwa keroo tu mnaboa aisee .

Tulieni basi hata muweze kulea mliowaleta duniani ndio maana mnatekwa mnakutwa mmekufa kisa watoto wa watu wake.zawatu mnawachakata.

Goodevening Equation x
Duuuh
 
Ni vile tu hujui hii kichwa ndogo inavyosumbua hasa ukiwa umepiga maji kidogo. Kibaya zaidi ukute umeenda lodge halafu mwamba anazagamua upande wa pili, yaani hapo hata muhudumu atavutwa, mwanaume haogopi kufa. Ajali kazini
 
Fikiria huyo mwanamke pia anayeitwa anakuta mwanaume anavuta masigara na bangi plus Valuu au konyagi na katoka trip machimboni kuja town kuuza mawe hana hata time ya kuoga, ataoga baada ya kukamua au asubuhi halafu ni kibint tu cha 2000 kinakuja na kulala naye. Nani sasa hapo anajiamini zaidi? So alieuza cheni bandia kalipwa fweza feki, ngoma droo. Hata mumeo siku ya kwanza kukutana naye ullikua jasiri sana kama huyo mwanaume ndio ukamjua sio wala sio big deal as long as unakuta na binadamu mwenzio inatosha, mengine ya kurudi au kuendelea yatafuata baada ya hapo

Haya maisha sio magumu kihivyo hadi tuumbe nani wa kukutana naye kesho kwa namna yoyote sio kitandani tu
 
Unaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe unachakata papuchi tu.

Ukiamka asubuhi unajikuta huna hata mizigo uliokuja nayo kaiba kila kitu .

Au unakutwa umekufa ulikuwa umesomewa ramani tokea stendi. Unakufa kiboya kisa starehe za muda mfupi.
unatolewa kwenye taarifa za habari umezima , ukiwa na taulo la gesti shida inakuwaga nini eti?? Hamuwezi kula baada ya kutoka safari.

Unakuta wengine wachawi wanakula hadi allowance ya uliyopewa ofisini unaanza kukopa , au mtaji wa kitu kilichokuleta hebu acheni ujinga . Acheni.

Kingine unakuta kakupa UTI, gono ,kaswende , au busha zinavimba au unaotwa malenge lenge , jingine ukute umeambukizwa ukimwi sasa shida yote yanini????.

Eti ?????
Sema tu unamke mzuri anaheshima anajipenda na hana kasoro kakuzalia ila umekuwa keroo tu mnaboa aisee .

Tulieni basi hata muweze kulea mliowaleta duniani ndio maana mnatekwa mnakutwa mmekufa kisa watoto wa watu wake.zawatu mnawachakata.

Goodevening Equation x
Huu ninuwongo mtupu. Wanawake wa hivyo kuomba reception wanakuwaga classic na hawanaga mambo ya wizi wala uti.
Kweli hii imeandikwa na mwanamke.
Alafu tambua uzuri wa mwanamke ni kabla ya kumgegeda ukishamkojolea 3 times mwanamme hana uzuri wowote ule
 
Back
Top Bottom