source please........Huwa inatokea sana hasa kwa wanaume unapomtamani sana mwanamke na sometimes unaogopa kumwambia labda kwa kuhofia kuwa hauna hadhi au yeye ni matawi ya juu na wewe ni ya chini au sometimes kwa kumuonea aibu tuu huwa unaota unafanya naye mapenzi, mara unapostuka unagundua kuwa ni ndoto tuu na ungetamani iwe kweli lakini hubaki ni ndoto tuu.
Mbinu ifuatayo inaweza kukusaidia.
Mara tuu unapostuka kutoka katika ndoto kama hiyo, haraka sana geuza shuka uliyoitandika kitandani kwako na ile uliyojifunika pia kisha endelea na usingiz wako.
Yani, shuka uliyoitandika itoe ule upande ulio juu uwe chini and vice versa, na ile shuka uliyojifunika vivyo hivyo.
Unajua nini kitatokea?
Na yeye yule uliyemuota muda huo huo kama yupo usingizini ataota exactly the same ndoto kama uliyoota wewe, yani ataota unamgegeda.
Kesho yake ukisha amka mtafute na usipitishe siku mwombe gemu, hakatai. hata awe nani hachomoki.
NB: Mbinu hii imefanyiwa utafiti na imekuwa proved.
Kumbuka inafanya kazi kama na yeye mhusika kwa muda huo atakuwa amelala hivyo inashauriwa ifanyike wakati wa usiku.
Ndibalema said:NB: Mbinu hii imefanyiwa utafiti na imekuwa proved.
Pia inafanya kazi mkuu. nimesema wanaume kwa sababu utafiti unaonyesha kuwa wanaume ndio wanaota sana ndoto dizini hiyo.Na mwanamke akiwa ndio anaota, kisha aka-upside down shuka lake wewe mwanaume utaota unafanya/unafanywa nini?
Mkuu ili mradi tuu huyo mwanamke awe anakufahamu vigezo vingine sio vikwazo kabisa.Mmmmh! labda kama na yeye akiwa anatamani lakn mwanaumea akawa muoga kutokana na muonekano wake lakn hauna mazoea naye au ni mke wa mtu hiyo njia sidhani kama itafanya kazi
Imefanyiwa utafiti na watu gani hao?
Huwa inatokea sana hasa kwa wanaume unapomtamani sana mwanamke na sometimes unaogopa kumwambia labda kwa kuhofia kuwa hauna hadhi au yeye ni matawi ya juu na wewe ni ya chini au sometimes kwa kumuonea aibu tuu huwa unaota unafanya naye mapenzi, mara unapostuka unagundua kuwa ni ndoto tuu na ungetamani iwe kweli lakini hubaki ni ndoto tuu.