Eeeeh kweli mambo ni motooUtataka tu kwenye helaaaa ten utaitwaa Malaika Demiss
Ulishindwa kuamchana, ila mim najua na wew unalipendeamo sana hilo boya lako,
Ndo hujalichana
So kipenda roho hula nyama mbich
Hivi kwanini mimi naona Guendouzi ndiyo katufelisha halafu kuna watu wanamuunga mkono?
Hivi umewazia angecheza Elneny?
Kijana upo
Mibuzi tupo tumejaa teleNdo kawaida yangu kumbe unajua huku jf mabuzi yapo mengi sana tena wazeee nawapenda hatar wanajua kulea
Linatamkwa shunie na e mwishoni NgabuNina swali [la kijinga].
Huwa napenda kujua majina ya watu yanavyotamkwa kwa sababu si mara zote hutamkwa vile yanavyoandikwa.
Hilo jina lako, Shunie, linatamkwaje?
Linatamkwa ‘Shuni’ bila hiyo ‘e’ hapo mwishoni?
Au linatamkwa ‘Shunie-e’ na hiyo ‘e’ hapo mwishoni?
He he front kupo konk konk nikigeuka hivi lazima ukimbiehahahahah.... naanzaje kukukimbia insta babe akati me nikiona mgongo tu naweza kujua hadi front pakoje
Heeee saivi hakuna mzuri wala mbaya wote tunaombwaa pesaaa wanaume mmekuwa ombaomba mxeeew
Hii bhange ni khake joohKumbe baba yako Sam Mahela?
aiseeehHe he front kupo konk konk nikigeuka hivi lazima ukimbie