Wanaume mnaboa mnaomba sana pesa

Hahahaa anakusifia unaumbo namba name wakati unajijua ni namba tisa...

Hahaaa mi sitaki bhanaa!!
 
Nina swali [la kijinga].

Huwa napenda kujua majina ya watu yanavyotamkwa kwa sababu si mara zote hutamkwa vile yanavyoandikwa.

Hilo jina lako, Shunie, linatamkwaje?

Linatamkwa ‘Shuni’ bila hiyo ‘e’ hapo mwishoni?

Au linatamkwa ‘Shunie-e’ na hiyo ‘e’ hapo mwishoni?
Linatamkwa shunie na e mwishoni Ngabu
 
demis nipo hapa pugu nimepungukiwa kilo 3.5 kwenye ushuru wa mifugo yangu pliz i beg you to rescue the situation
 
Heeee saivi hakuna mzuri wala mbaya wote tunaombwaa pesaaa wanaume mmekuwa ombaomba mxeeew

Heheheh wanaume wa Dar wanatuharibia sana siku hizi...Pole sana mkuu kutoa ni moyo sio utajiRi..

wewe umepewa pesa ngapi na wanaume..Gia imebadilika vumilia tu
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom