Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,848
Yaani unakuta mtu mwili mzuri, kifua cha mazoezi anapiga ma push-up vizuri lakini kunako sita sita hakuna kitu, yeye kimoja tu anakoroma kama kameza cherehani, au ndo hizi kuku za kisasa mnazokula? Halafu unakuta mtu kila jioni anaenda kula pweza sasa sijui hazimsaidii!
Aaaaaagh, ukipigwa chini unaanza kulalamika. Nimetumia wanaume maana ni wanaume wengi wa hapa mjini ni shida kweli kwel hata mashost wanalalamika sana.
Hebu badilikeni bwana!
Tatizo nyie wanawake mnaweweseka sana na vijanaume vyenye sura nzuri kama za kwenu mkidhani vinakila kitu kizuri kama sura zao na ndo vikishashindwa kula mzigo vizuri mnatujumuisha wanaume wote