Wanaume mna shida gani mbona hamueleweki

dawa ya moto ni moto na wewe kodolea wanaume hasa ma hb ukiwa unatabasam kabisaaaa. ataacha tuuuu
 
Not all men are same, wengine tukitizama mizigo iliyojazia neema za Mungu tunatapika.
 
Wanaume mnashida gani mbona hamueleweki .

Aspotazama huyo hatari zaidi, aweza fanya kwa kificho au yawezekana anakula na analiwa, wala usishangae mama haya yapo jijini..Pia "Fahari ya macho haifilisi duka.." Una kidume cha mbegu hapo, cha kufanya mfinye au mtanie aache, ni kawaida tu, tena wivu wako ndio utakaokoleza mapenzi, ila usikasirike, na pia unajuwa mara nyingi wanatazama hivyo labda kujuwa kama nguo aliyovaa yule mwanamke utaipenda au la akununulie, au kama unywele umetulia akupeleke saloon nawe usike vile, kuna faida zake mama, punguza munkari..
 
Yaani ni too much. Natamani hata nimuwashe kibao sema nguvu tu ndo hakuna
mnazo sana nguvu aisee kwani na mie yalishanikuta pale jangwani sea breeze, mtoto katoka kuogelea beach na bikini ya pink kamechisha na sidiria na alikuwa ana mshape balaa, akapita mbele yetu akienda pata rain shower aondoe maji ya chumvi mwilini, na nilikuwa nimekaa na wife tunapata msosi, sielewi kofi lilipotokea kwani niliona nyota mchana mchana, ndo nikastuka kumbe nipo na mai waifu, ilibidi rafiki zangu waangue kicheko
 
Kama asipoangalia mwingine aka compare na wewe atajuaje wewe ni mzuri au hermaphrodite?
 
mnazo sana nguvu aisee kwani na mie yalishanikuta pale jangwani sea breeze, mtoto katoka kuogelea beach na bikini ya pink kamechisha na sidiria na alikuwa ana mshape balaa, akapita mbele yetu akienda pata rain shower aondoe maji ya chumvi mwilini, na nilikuwa nimekaa na wife tunapata msosi, sielewi kofi lilipotokea kwani niliona nyota mchana mchana, ndo nikastuka kumbe nipo na mai waifu, ilibidi rafiki zangu waangue kicheko
Hahahahaha! Safi sanaa
 
Aspotazama huyo hatari zaidi, aweza fanya kwa kificho au yawezekana anakula na analiwa, wala usishangae mama haya yapo jijini..Pia "Fahari ya macho haifilisi duka.." Una kidume cha mbegu hapo, cha kufanya mfinye au mtanie aache, ni kawaida tu, tena wivu wako ndio utakaokoleza mapenzi, ila usikasirike, na pia unajuwa mara nyingi wanatazama hivyo labda kujuwa kama nguo aliyovaa yule mwanamke utaipenda au la akununulie, au kama unywele umetulia akupeleke saloon nawe usike vile, kuna faida zake mama, punguza munkari..
Mmmmh! Makubwa moniccca mie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom