Wanaume mna shida gani mbona hamueleweki

Men were born polygamist in nature, it takes a real man to realize that one woman is enough for him.
 
Daaaa, hata mwaka badso mmeo kaanza kuangalia wengine, jiangalie best, ndoa ipo takoni hiyo.
 
Mimi mchumba angu likipita chura za maana kama hajamuona mi ndo ninamshtua athaminishe
 
Hivi dhana wanawake mliitoa wapi kwamba ukimuangalia mwanamke ndo umeshampenda...wakati.mwingine tunawaangalia sawa tunavyoangalia magari barabarani tu.

Halafu mbona hata nyie wadada tabia ya kuangalia wanaume mnayo?
 
Kama uliolewa kwa kumganda mshikaji hayo ndo matunda yake wewe kuwa tu mpole na ipo siku atakuja ndani hao anaowatolea udenda njiani.
 
Binafsi napata shida sana kuwaelewa wanaume walio wengi.

Unakuta mtu ana mke tena hana kosoro lakini akitokea mwanamke mwingine atatazamwa huyo mpaka utalazimika kusema.

Juzi nilikuwa nakwenda mahali Fulani na mume wangu yeye akiwa anaendesha gari mara tukasimama kwenye zebra kupisha waenda kwa miguu..akapita Dada mmoja mzuri kiasi basi mume wangu alimtazama mpaka alipotokomea.. Haikuishia hapo tulipo fika tulipokuwa tunakwenda muhudumu aliyetuhudumia alikuwa ni mwanamke wakaida tu sana lakini mume wangu alimtazama mara amkonyeze basi fujo tupu mpaka nikaamua kukatisha kinywaji na kuamua kurudi home.

Nawauliza wanaume kwanini mkiona mwanamke udenda unawatoka?

Kwann msiridhike na wapenzi au wake zenu?

Jitathiminini heshima hufuata mkondo.

Nawasilisha.
WE ARE POLYGAMY IN NATURE
 
Ha ha ha ha moniccca, hayo ndo mambo yatokeayo katika ndoa! inabidi uvumilie tu
 
Binafsi napata shida sana kuwaelewa wanaume walio wengi.

Unakuta mtu ana mke tena hana kosoro lakini akitokea mwanamke mwingine atatazamwa huyo mpaka utalazimika kusema.

Juzi nilikuwa nakwenda mahali Fulani na mume wangu yeye akiwa anaendesha gari mara tukasimama kwenye zebra kupisha waenda kwa miguu..akapita Dada mmoja mzuri kiasi basi mume wangu alimtazama mpaka alipotokomea.. Haikuishia hapo tulipo fika tulipokuwa tunakwenda muhudumu aliyetuhudumia alikuwa ni mwanamke wakaida tu sana lakini mume wangu alimtazama mara amkonyeze basi fujo tupu mpaka nikaamua kukatisha kinywaji na kuamua kurudi home.

Nawauliza wanaume kwanini mkiona mwanamke udenda unawatoka?

Kwann msiridhike na wapenzi au wake zenu?

Jitathiminini heshima hufuata mkondo.

Nawasilisha.
unatuuliza unatujua muulize mme wako aliyekonyeza
 
huyu kumbe alishaolewa!mh.mapenzi upofu!ingawa wengne wanaona!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom