Wanaume mna shida gani mbona hamueleweki

Wanaume mna shida gani mbona hamueleweki

Anakurusha roho huyo dawa yake na wewe akipita mkaka unamwangalia hatari unamsifia ata soksi tuuuu alizovaaa nzuriii
 
Acha wivu ww Kwan ukawa MWANAMKE mtu sikutizame au hata kukusifia unajiskiaje
 
We si umeolewa juzijuzi tu tulia katika ndoa yako monica mwache ye anatizama tu
 
Umesema kapita mdada mzuri, maanake hata we ungekuwa mwanaume ungemtazama tu km ulivyomwona ni mzuri, mmeo pia ni binadamu km wewe, ' kaona mdada ni mzuri. Acha uchoyo kitu kizuri kula na nduguzo
 
Umesema kapita mdada mzuri, maanake hata we ungekuwa mwanaume ungemtazama tu km ulivyomwona ni mzuri, mmeo pia ni binadamu km wewe, ' kaona mdada ni mzuri. Acha uchoyo kitu kizuri kula na nduguzo
Kumbeeeeeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom