Wanaume mna shida gani mbona hamueleweki

Binafsi napata shida sana kuwaelewa wanaume walio wengi.

Unakuta mtu ana mke tena hana kosoro lkn akitokea mwanamke mwingine atatazamwa huyo mpaka utalazimika kusema.

Juzi nilikuwa nakwenda mahali Fulani na mume wangu yeye akiwa anaendesha gari mara tukasimama kwenye zebra kupisha waenda kwa miguu..akapita Dada mmoja mzuri kiasi basi mume wangu alimtazama mpaka alipotokomea.. Haikuishia hapo tulipo fika tulipokuwa tunakwenda muhudumu aliyetuhudumia alikuwa ni mwanamke wakaida tu sana lkn mume wangu ali mtazama mara amkonyeze basi fujo tupu mpaka nikaamua kukatisha kinywaji na kuamua kurudi home.

Nawauliza wanaume kwanini mkiona mwanamke udenda unawatoka? Kwann msilidhike na wapenzi au wake zenu?

Jitathiminini heshima ifuata mkondo.

Nawasirisha.
Kuwa na amani kutazama ndo kazi ya macho
 
Ukiona hivyo, ujue humridhishi mume wako, kwa sababu kama unamridhisha hatakuwa na muda wa kuangalia hao wanawake kwa muda mrefu, atawazama kwa muda tu na kukumbuka jinsi unavyomridhisha na kurudisha macho kwako.
 
Haikuishia hapo tulipo fika tulipokuwa tunakwenda muhudumu aliyetuhudumia alikuwa ni mwanamke wakaida tu sana lkn mume wangu ali mtazama mara amkonyeze basi fujo tupu mpaka nikaamua kukatisha kinywaji na kuamua kurudi home.
Hakika wewe ni golikipa mwema!! Yaani wakati mchezaji wa timu pinzani anatafuta eneo muafaka la kuweka mpira ili apige free kick; wewe unasusa na kuacha goli tupu?!

Hakika ubarikiwe-- (sema Ameeen!)
 
hahahaha...huyu dada ndoa yake ni shamba darasa,,,
 
Binafsi napata shida sana kuwaelewa wanaume walio wengi.

Unakuta mtu ana mke tena hana kosoro lkn akitokea mwanamke mwingine atatazamwa huyo mpaka utalazimika kusema.

Juzi nilikuwa nakwenda mahali Fulani na mume wangu yeye akiwa anaendesha gari mara tukasimama kwenye zebra kupisha waenda kwa miguu..akapita Dada mmoja mzuri kiasi basi mume wangu alimtazama mpaka alipotokomea.. Haikuishia hapo tulipo fika tulipokuwa tunakwenda muhudumu aliyetuhudumia alikuwa ni mwanamke wakaida tu sana lkn mume wangu ali mtazama mara amkonyeze basi fujo tupu mpaka nikaamua kukatisha kinywaji na kuamua kurudi home.

Nawauliza wanaume kwanini mkiona mwanamke udenda unawatoka? Kwann msilidhike na wapenzi au wake zenu?

Jitathiminini heshima ifuata mkondo.

Nawasirisha.
moniica huyo jamani
 
hivi hujui kuwa mwanamke ni kama maua kwa ajili ya kumliwaza mwanaume?na si lazima kuwa kila unayemtazama uwe una mtamani,ni just kumwangalia na kumthaminisha tu halafu unaridhika
 
Lkn kila mmoja anapaswa kumwangalia mke wake zaidi ya wengine
 
sukari bei juu sasa punguza chai zako😵😵😵😵😵😵
 
hii ndo shida ya kuoa mwanamke asie na busara kila kitu mtandaoni akiliwa mzigo mtandaoni mmewe akiminya brek kwenye gar mtandaoni akiunguzwa mtandaoni huku ndiko waliko makungwi wake.
 
Macho hayana pazia
Fahari ya Macho kutazama uumbaji wa Mungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom