Wanaume mna shida gani mbona hamueleweki

Wanaume mna shida gani mbona hamueleweki

Itakuwa anatafuta new papua guinea yakuiunguza na zile wahasha zake...

Yako itakuwa imeota sugu siku hizi haisikii tena umotto motto.
 
Mbona mapema sana ushaanza piga kelele?? Zile kitu bado zinakuchoma kwenye kuta za ndani au??
Ndo kwanza umeanza kuisoma namba, tulia! Ila jua kuwa na wewe kuna dume la mtu likiwa na mke wako huwa linakukodolea macho kukutaka kukut*****a.
 
Yaaani Monika siku msomso akikugegeda ndo utakuwa mwanzo wako wa kukua
 
Ninavyohisi mimi; Mara nyingi inakuwa ni kuangalia tu na sio kukusudia kufanya chochote...lakini hilo suala la kukwenyeza nahisi ni mtu kushindwa kujua yeye ni nani kwako. Inaweza ikawa ni tabia au ni jambo ambalo amefanya tu, lakini naamini kuwa sio wanaume wote wako hivo.
 
Moniccca, huyo mmeo alikupataje? Naamini wewe hukuwa mwanamke wa kwanza kwake kama wewe ulivyokuwa na wanaume wengine kabla. Jiamini tu nduyo siri ya ndoa inayodumu. Ukijiamini na mwenzio utamwamini.
 
Itakuwa anatafuta new papua guinea yakuiunguza na zile wahasha zake...

Yako itakuwa imeota sugu siku hizi haisikii tena umotto motto.
Jf bana.....[emoji12] [emoji12]
Humu kuna raha za kila rangi aiseeee.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nakumbuka alipokuja na ile issue eti mafuta ya risasi yanamuunguza shimoni....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huna jipya! ww kweli mchafuzi wa JF nimeamini
tehh....teehhh....teehhh.....[emoji12]
Aroo weita....
Ebu fanya haraka ukuje na Kilimanjaro nyingine baridii...
 
unambwembwe sana wewe mi nasubiria uzi unaofuata HANA\ SINA KIZAZI or NAUJAUZITO MUME KAPUNGUZA UPENDO,.
 
unambwembwe sana wewe mi nasubiria uzi unaofuata HANA\ SINA KIZAZI or NAUJAUZITO MUME KAPUNGUZA UPENDO,.
 
Mimi Nina Shida Na Hela Tu Ndo Nazitolea Macho Nowadays Mpaka Zinapoishia.
 
Generalisation,sjui kwann tunapenda kuhukumu kundi zima sababu ya vitendo vya wachache.huyo mumeo inaonekana heshima hana lakini sio kwamba wanaume wote wako hivyo,mi nkiwa na mwanamke hata kama sio mpenzi ama mwenza wangu siwezi kufanya ujinga huo.kusafisha macho kuna adabu zake.ukiona bwana ako yuko ivo ujue tu uwezekano wa kuchepuka ni mkubwa sana.imagine akiwa peke yake inakuwaje?
 
usiseme wanaume sema bwana yako.it not all men.just your men do that shit.

swissme
Baelezee baelewe.pia lazima mjue kuna tafauti kubwa kati ya "kuona" na "kuangalia", the first is purely coincidential
 
Jf bana.....[emoji12] [emoji12]
Humu kuna raha za kila rangi aiseeee.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nakumbuka alipokuja na ile issue eti mafuta ya risasi yanamuunguza shimoni....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maigizo tu, toka lini shimo lina hisia labda kitobo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom