Wanaume mna nini na simu zenu?

nilimuomba sasa Ile nimeshika tuu akasema leta kwanza sasa namuuliza kwa nini hasemi anakimbilia kunikwida
Una bahati sana, angekukwida na vibao juu. Huna adabu kabisa.
 
wanawake kwelii mnatamaa. simu yako unayo kihere here cha simu ya mwenzako
. kama huna salio omba.

ungekuwa umeshika yangu msiba ungekuendea vizuri ata msiba ungekuwa ni wa bibi ungelia adi kamasi likutoke kwa kipigo ningekupa.
 
Wanaume ni wa kuishi nao kiakili yaani simu zao full michepuko ndo maana yuko tiyari kwenda nayo chooni dah duniani kuna mengi
 
wanawake kwelii mnatamaa. simu yako unayo kihere here cha simu ya mwenzako
. kama huna salio omba.

ungekuwa umeshika yangu msiba ungekuendea vizuri ata msiba ungekuwa ni wa bibi ungelia adi kamasi likutoke kwa kipigo ningekupa.
duuh
 
Marhabaaa, unaona sasa ulichokua unataka kufanya?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…