Wanaume mna nini na simu zenu?

Wewe ni mpenzi tu aujawa mke,Unijue A2Z ili iweje
 
Duuh! Pole... Hataki uone msg na mapicha from michepuko yake huyo.
 
nakuchunguza kama ni mume mwema
Inategemeana na priority ya mtu mimi kuna siri zangu natunza kwenye simu sio kwamba na chepuka.

Wasio nielewa hua napiga chini,mapenzi nikitu kidogo sana kuliko nacho fanya!
 
kwan kipind naenda kusajili line tulisajili wote? nikiambiwa naingia jela kisa simu tutaenda wote? we tulia baki na simu yako na mim nibak na yangu
Bony hapo umeua kabisa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kama mpenzi wake siruhusiwi kushika simu? jaman mbna wanaume mna kera yani nimeharibu hadi valentine yangu bora ningelala home tuu
Kushika simu isiyo yako ni hatari sana, ni sawa sawa na kumuachia mtoto bastola yenye risasi.....kaa mbali na simu ya mme kipenzi, ukiona yaliyopo unaweza kujikuta unazindukia MOI
 

hii mpya..jiulize kwanin amekuwa mkali wakati umeshika simu yake? huyo ana makandokando yake akahofia labda unaweza fikinyua kwenye sms na whatsapp..mwanaume anayejiamini hata kama anacheat anakuacha maana anajua utafanya kile unachohitaji kwa simu yake na kumrudishia...
 
kwan kipind naenda kusajili line tulisajili wote? nikiambiwa naingia jela kisa simu tutaenda wote? we tulia baki na simu yako na mim nibak na yangu
Mkwe shikamoo!
 
hadi ifike saa sita usiku tutakuwa tumeshasikia na kujionea mengi
Pole
 
Usingeweza kuishia kupiga simu tu, ungefukunyua kila kona... alafu muanze malumbano...
 
Wewe waeza jiona kua kwake ni mke mtarajiwa , kla kwake wewe ni mchepuko. "Mapenzi utani si masihara"
 
Huna adabu ,,utachukuaje kitu ambacho sio chako bila kuomba,,hv kama ungegombana na mwamamke mwenzio na unaju bastola ya mme wako ilipo c utaifuata uje umtoe ubongo mwenzako,,,
 
Simu ya mwanaume ina mambo mengi sana isitoshe ungetaka kujua taarifa za msiba kiundani lkn baada ya kushika simu hiyo ukaanza kuangalia mengine. Mkome kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…