Wanaume mna mioyo mingapi?

Wanaume mna mioyo mingapi?

For the time being, ndoa za waislamu zimekuwa za kipumbavu sana unaweza ukajiuliza hayo yote yanatoka wapi wakati utaratibu wote wa ndoa umeelekezwa kwenye dini?.

Hayo ni matokeo ya kufanya ndoa zikiwa equipped na mafunzo ya makungwi na manyakanga kiasi kwamba utadhani bibi harusi anaenda vitani israel, haya sasa shika mapigo ya moyo yeye moja kwa moja kaenda kukamata silaha ya watu, huyu azizi ana uhakika huyu ni mke wake? sio mamluki kutoka kimboka kweli?.
 
Mkuu taratibu wakija wenyewe..ooh
 
Back
Top Bottom