Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,030
- 111,618
We unahisi uko upande gan? 😅Mwamba moyo wako uko upande gani
We unahisi uko upande gan? 😅Mwamba moyo wako uko upande gani
Nimekususa rafiki! Unaendeleaje?Iko wapi na wapi yani
Au we msomaji moyo uko upande gani
View attachment 2783687View attachment 2783689
Hiyo ndo shida ya kuoa la 7 tena Mshamba😅💔
yes, moyo ni mashine
Kwakweli sijui tatizo nini..maana haonekani kuwa mapepeKwaio ni nn sasa??
Iam doing great..naelewa majukumu ya kilingeni yanakubana
La saba usijue moyo uko upande gani?hata mtoto anajua mbonaHiyo ndo shida ya kuoa la 7 tena Mshamba![]()
La saba usijue moyo uko upande gani?hata mtoto anajua mbona
Moyo wangu upo hapa ndani ya zipu... DuuhMbona wamenuna😃😃
Kwa hio jamaa kibamia kitu haipandi mnara?Jamaa katulia hana habari
Waliambiana hivo labda..tutajuajeMoyo wangu upo hapa ndani ya zipu... Duuh
Ungekuwa wewe hapo tayari hali mbaya?Kwa hio jamaa kibamia kitu haipandi mnara?