Mimi ni Me...ila sina tabia mbaya kama hao MALIOO...!! Wanajishusha sana.Humu ndani mu wazima?
Kwanza naomba ieleweke kuwa mimi ni ke. Baada ya kuachwa chali. Nikiwa bado nina mapenzi ya dhati kwa aliyeniacha, niliumia kama mwanamke, nikaomba sana msamaha lakini mwenzangu alinijibu maneno ya kashfa kiasi kwamba naahindwa hata kuyaandika.
Baada ya maneno hayo, niliamua kuwa mtu mpya kabisa. Kwanza nilibadili lifestyle yangu na pia niliamua kujichanganya sana na marafiki. Niliamua kufocus kwenye maisha yangu na kutumia muda mwingi ninapokuwa mwenyewe kusoma na kuongeza maarifa zaidi.
Katika kujichanganya na watu mbalimbali, wameibuka vijana kadhaa walioonyesha interest ya kuwa nami jambo ambalo sijawahi kuliafiki. Wamekuwa karibu wakidhani pengine siku moja nitabadili mawazo.
Jambo la kushangaza sasa, vijana hawa wote, wanaact kama vile ndio tayari mmeanza kujenga future. Mara hoo najenga, tutahamia kwetu nikopeshe basi laki mbili nikamalizie nyumba. Mara hoo mama anaumwa sasa nimechacha pls nisaidie nitakurudishia. Kubwa zaidi hadi aliyenimwaga kwa kashfa naye anapiga kusalimia mara hoo naumwa sina hata pesa.
Mara hoo. Zimekuwa nyingi sana. Unajua mtu huyu ana kazi yake na mbaya zaidi anakupeleka hadi kwa wazazi wake bila ruhusa yako na bado wewe hujawahi kumwomba hata mia. Nyie wanaume badilikeni sasa.
Huku mnapoelekea si pazuri. Mnakua hamna tofauti na wale wadada wanaouza miili yao ili kupata pesa. Nina amini hawa watu hawana hisia na mimi.
Mnakera sana.
Karibuni kwa mapovu.
That makes the two of us.sijaelewa kwa kweli
UhmmWapeee

X hajui kama wapo watu hawa. Yeye anaamini bado nampenda na siwezi kumove on.Mimi ni Me...ila sina tabia mbaya kama hao MALIOO...!! Wanajishusha sana.
Ama pengine una rekodi/historia ya KUHONGA Wanaume hapo awali...!?
Isije kuwa ni tabia yako....may be ex wako anawapa wenzie stori, hivyo wanajaribu kuja kutikisa KIBERITI...
Na kubwa wanatumia UPWEKE ulio nao, wakijua huwezi kujipa STAREHE mwenyewe...!!
Be careful, take care...!!
I am still young. Ndo kwanza natafuta maisha mkuu. Sijatoka hata kwa wazazi.Kwa tafsiri ya moja kwa moja wewe ni jimama, yaani unawanunua vijana wakutombbe kisha unawapa hela. Be careful
Inakuwaje wavulana wakuombe hela? Kaa mbali nao hao sio watu wazuriI am still young. Ndo kwanza natafuta maisha mkuu. Sijatoka hata kwa wazazi.
Bora hata huyo x tunajuana lifestyles zetu. Mimi nilikula sana zake sana tu. Na hakuwa mtu wa kuomba.Teh ! Hadi aliekumwaga anakuomba hela mtoto wa kike? Balaa!
Inaelekea we ndiwe uliwazoesha kuwapa hela coz mwanaume km humpagi hela hata wazo la kukukopa hatakumbuka
Sorry.... Kuna maisha zaidi ya mapenzi.Njoo kwangu sintakuomba hela nitakupa penzi la dhati na nitakuoa kabisa
Unategemea nitaje papuchi wakati mada ni marioo?Kwenye maelezo yako sijaona ombi la papuchi, vip huwa hawaombi?
Anatudhalilisha wanaume huyu.Jua kutofautisha kati ya mwanaume na marioo
Heading andika marioo wamezidi virungu