Wanaume mlioko kwenye ndoa mnisaidie hapa

Wanaume mlioko kwenye ndoa mnisaidie hapa

Naomba nikusaidie mtoa mada...Hiyo suala ya kucheat vs hiyo kitu havifanani hata siku moja...zipo sababu milioni katika hili.
Kwanza wanaume hatuoi kwa sababu ya lile tundu tu, forget about that! Tunavutiwa na vitu vingine vingi tu...lile tundu its just a complementary to the real mariage industry. Upo!?
Ukiachilia mbali tabia naweza penda umbile zuri, naweza penda macho yako yanavyokuwa wkti wa tendo, naweza penda miguno yako, naweza kiuona chako, naweza penda makalio yako, naweza penda kusikia sauti ya makalio yako yanavyopiga makofi wakati wanlile tendo, naweza penda harufu yako naweza penda structure ya ile sehemu husika ilivyo kuanzia nje mpaka ndani, naweza penda jinsi au namna ile tool yako inavyofanya kazi...tambua kuna tools nyingine zinabana, nyingine mdebwedo, nyingine zipo kama zina rababendi fulani hivi, zingine kama zina mageti, zingine kama zinatekenya fulani hivi wakati nyingine kama zinakwaruza.

Mwisho wa siku bi mkubwa unatakiwa kuwa mbunifu daily, sio upo upo tu style zile zile toka uchumba mpaka mnazaa watoto 8. Change, usiwe mtu wa kutabilika, leo mpe hivi kesho vile...leo mtekenye kesho.....leo mmeenda out wote then unasimamia mechi sio kila siku yeyetu ndiye mlipaji na anayekutoa out.....

Think outside the box, Kuweni wabunifu au baba akipata kitu out utaendelea kuleta mada za vilio hapa

Mkuu umemalza kila kitu, kama emoj hatokuelewa itakuwa ni kujitia upofu na ukiziwi tu
 
Umempenda mwanamke umemuoa means hadi umemuoa umeridhika nae na umekubali kuandamana naye tu wewe ni mume wa mtu sasa, kuacha kucheat kwa mkeo haiwezekani? Ukawa mwaminifu kwake hadi kifo kiwatenganishe haiwezekani?

Naongea hivi sababu wanaume ndo mnaongoza kucheat kwenye ndoa, kila kona wanawake wanalalamika mume wangu anacheat mume wangu anacheat mnasingizia asili, asili ipi hiyo?Nini kinachowafanya mchepuke wanaume? Kuna kipya ambacho mkeo hana?Tofauti ni nini wanaume?

Siyo Kweli! Idadi ya wanawake wanaotembea nje ya ndoa ni sawa na ya wanaume kama siyo zaidi, tofauti tu ni kwamba ni ngumu sana kumshika mwanamke anayechepuka tofauti na Mwanaume ambapo akibanwa kidogo basi hukubali lkn Mwanamke kama haujamshika live hawezi kukubali hata iweje atalia mpaka machozi ya damu na kamwe hatokubali!
Hivyo hilo swali pia ulipaswa ulielekeze kwa Wanawake kwani karibia wanawake wote walioolewa wanachepuka hasa kwa ma ex boy friends wa kabla ya kuolewa!
 
I'm all against hii tabia ya kuchepuka. Bahati mbaya kwa sasa ni jinsia zote zinashindana kuchepuka. Wengine ni waongo, wanawadanganya mabinti/vijana kuwa wapo single kumbe ni wake/waume na familia zao. Sasa ulioa/uliolewa ili iweje, shame!!
Lakini pia wapo wale wanajua kabisa huyu ni mume//mke wa mtu, yet wanafurahi kuwa sehemu ya kuiharibu nyumba ya mwenzake, anyway kila mtu na utashi wake. Lakini kuna maradhi....mnaotoka nje ya ndoa zenu angalieni msiwaletee wenza wenu maradhi na hiyo milaana mnayobeba huko!!!
weeeell said mpendwa.Barikiwa
 
Naomba nikusaidie mtoa mada...Hiyo suala ya kucheat vs hiyo kitu havifanani hata siku moja...zipo sababu milioni katika hili.
Kwanza wanaume hatuoi kwa sababu ya lile tundu tu, forget about that! Tunavutiwa na vitu vingine vingi tu...lile tundu its just a complementary to the real mariage industry. Upo!?
Ukiachilia mbali tabia naweza penda umbile zuri, naweza penda macho yako yanavyokuwa wkti wa tendo, naweza penda miguno yako, naweza kiuona chako, naweza penda makalio yako, naweza penda kusikia sauti ya makalio yako yanavyopiga makofi wakati wanlile tendo, naweza penda harufu yako naweza penda structure ya ile sehemu husika ilivyo kuanzia nje mpaka ndani, naweza penda jinsi au namna ile tool yako inavyofanya kazi...tambua kuna tools nyingine zinabana, nyingine mdebwedo, nyingine zipo kama zina rababendi fulani hivi, zingine kama zina mageti, zingine kama zinatekenya fulani hivi wakati nyingine kama zinakwaruza.

Mwisho wa siku bi mkubwa unatakiwa kuwa mbunifu daily, sio upo upo tu style zile zile toka uchumba mpaka mnazaa watoto 8. Change, usiwe mtu wa kutabilika, leo mpe hivi kesho vile...leo mtekenye kesho.....leo mmeenda out wote then unasimamia mechi sio kila siku yeyetu ndiye mlipaji na anayekutoa out.....

Think outside the box, Kuweni wabunifu au baba akipata kitu out utaendelea kuleta mada za vilio hapa
mpendwa mpaka umeoa huyo mwanamke means kuna kitu umevutiwa nae ukaona umweke ndani.sasa iweje uchungulie tena za nje? nadhani mtu unapotaka kuoa unakuwa na sifa za mwanamke umtakae.ukipata unaoa, kutamani vya nje ya nini tena?.ok umeongea ubunifu, nadhani hakuna aliezaliwa anajua mapenzi, wewe kama mume ukimuelekeza mkeo kwamba unapenda akikifanyia hivi ni dhambi? si unamuelekeza tu. kwani ndo ukachepuke? si mkae mrekebishane na mkeo?
 
Ukimwambia ajirekebishe mfano ukimwambia azungushe kiuno vzr, anakujia juu na kukuulza umejuaje kama hazungushi vizuri??
unajua mpendwa unapomrekebisha mwandani wako kuhusu haya mambo inabidi uwe romantic, usipayuke tu, mueleze kwa upendo coz ukitumia sauti ya ukali kumuelekeza hatokuelewa.
 
Yaani yule mama wa pale crdb alinigaaanda hadi nikakosa pumzi, skilizia kipigo chake sasa siku nimemuamulia……weeeeee! Koma kabisa
 
Kua uyaone zaa watoto wawili watatu hivi halafu uwe na bugu bugu hivi, ongeze kero kero kisha punguza heshima, ongeza uvivu uwe na kijiodo kudogo then uje utupe ushuhuda mpya kama mumeo hatacheat!!

Lkn si hilo tu kumbuka ya kua kiwanda cha mungu jinaprint vitu vipya na vikali zaid kuliko vya jana na juzi!!

Lingine ukubali ukatae wanaume ni wachache kuliko wanawake so sometimes tunawahurumia hao ambao hawajaolewa kwa kuwadunga hizo sindano, wanawake hebu muwe na huruma kwa wanawake wenzenu japo hata kidooogo tu!!

Hebu pia angalia jinsi mitego ilivyomingi kutoka kwenu jaman na sisi tunahisia sio kwamba wanaume hawafedheshwi na 'bambataa' yenu.

Mwisho kabisa kasome au google hapo 'ISAYA 4:1' ujionee mwenyewe
unajua mpendwa tatizo lenu ni nini? ni kudhania mwanamke pekee ndo anachakaa wakati hata mwanaume anachakaa vilevile
 
Women cheat as much as men do, if not more.. Mtoa mada inaelekea huwajui wanawake vizur na hujakaa nao kwa mda mrefu Emoj
 
Wanawake na wanaume wote wanacheat..Tofauti ni kwamba wanawake wanajitahidi sana kufanya siri..kuwakamata ni kazi..

N.B..Kumbuka wababa wengi tu wanalea watt wasio wao bila wao kujua...
 
Naongea hivi sababu wanaume ndo mnaongoza kucheat kwenye ndoa, kila kona wanawake wanalalamika mume wangu anacheat mume wangu anacheat mnasingizia asili, asili ipi hiyo?

Unasema wanaume ndo wanaongoza kwenye kutoka nje ya ndoa kwa misingi ipi? Hisia au ukweli?
 
Wanawake na wanaume wote wanacheat..Tofauti ni kwamba wanawake wanajitahidi sana kufanya siri..kuwakamata ni kazi..

N.B..Kumbuka wababa wengi tu wanalea watt wasio wao bila wao kujua...

Kuna wanawake wengi tu walioolewa wanaotoka nje ndoa.

Tatizo ni kwamba wao wakitoka nje ya ndoa wanatafuta sababu na kujishawishi kwamba wafanyacho ni sahihi.
 
hakuna tofauti mpendwa.Tofauti ipo kwenye mindset yako ila k ni ileile

wewe yaani ata physically looking at papuchi u can tell there is a difference....now thats a fact!!!
 
Women cheat as much as men do, if not more.. Mtoa mada inaelekea huwajui wanawake vizur na hujakaa nao kwa mda mrefu Emoj

That's right.

And that's the hard home truth.

But some women are just too deep in denial.

When they run out of excuses they try to rationalize their indiscretions.
 
Umempenda mwanamke umemuoa means hadi umemuoa umeridhika nae na umekubali kuandamana naye tu wewe ni mume wa mtu sasa, kuacha kucheat kwa mkeo haiwezekani? Ukawa mwaminifu kwake hadi kifo kiwatenganishe haiwezekani?

Naongea hivi sababu wanaume ndo mnaongoza kucheat kwenye ndoa, kila kona wanawake wanalalamika mume wangu anacheat mume wangu anacheat mnasingizia asili, asili ipi hiyo?Nini kinachowafanya mchepuke wanaume? Kuna kipya ambacho mkeo hana?Tofauti ni nini wanaume?
Ukifuatilia kwa ukaribu zaidi utagundua wanawake wanachangia waume zao kuwacheat. Kabla hajaolewa mwanamke hujipenda sana kwa namna zote. Lkn akishaolewa tu taratibu anaanza kujiachia na kupoteza ule mvuto wake! Hiyo ni 9, 10 ni pale akijifungua tu wakati mwingine hata kumkaribia inahitaji ujasiri. Yaani muda wote utamkuta yuko rough, mchafu na ananuka maziwa yake! Utadhani mama wa kamasai!
 
Cheating haina jinsia na wala hujafanya tathmini sahihi sasa ukitaka kufanya utafiti karibu
 
hakuna tofauti mpendwa.Tofauti ipo kwenye mindset yako ila k ni ileile
Inawezekana ikawa kweli k hazitofautiani lkn kumgegeda mwanamke msafi anayenukia ni raha na starehe kuliko mwanamke asiyejijali na pengine anayenuka nguvu (jasho) au maziwa yake.
 
Kinamama tuvumiliane tu pls, wanaume tunakutana ni vingi jamani, kuna wanawake wa kila namna siku hizi hapa duniani, wakati mwingine nakiri moyoni mwanangu kuwa I will never cheat again lakini ndio kwanzaa majaribu nayo yanaongezeka, kiujumla ni ngumu kushinda hii hali kwa akili zetu weneyewe hvyo nguvu ya kimungu inahitajika zaidi, otherwise ni ngumu.
 
Ni tamaa zao tu wala hawana sababu maalum. Kuna mmoja huyo mke wake hadi lunch anamletea ofisini ila wapiii kila anepita mbele yake anamtaka.
 
Back
Top Bottom