kweli kabisa mchomwa moto mwezanguWanaume tulishakubaliana mmoja ni mama tu...
kweli kabisa mchomwa moto mwezanguWanaume tulishakubaliana mmoja ni mama tu...
hili swali lako nakusihi muulize Mungu aliyetuumba maana liko nje ya uwezo wetu.Umempenda mwanamke umemuoa means hadi umemuoa umeridhika nae na umekubali kuandamana naye tu wewe ni mume wa mtu sasa, kuacha kucheat kwa mkeo haiwezekani? Ukawa mwaminifu kwake hadi kifo kiwatenganishe haiwezekani?
Naongea hivi sababu wanaume ndo mnaongoza kucheat kwenye ndoa, kila kona wanawake wanalalamika mume wangu anacheat mume wangu anacheat mnasingizia asili, asili ipi hiyo?Nini kinachowafanya mchepuke wanaume? Kuna kipya ambacho mkeo hana?Tofauti ni nini wanaume?
Nimeokoka, jpili walikuja wapendwa wenzangu tumeshinda tunaomba na kuimba, karibu nawewe kaka hivi vya duniani vinapita kaka angukweli kabisa mchomwa moto mwezangu
ah sawa vizuri kama wameweza kukufanya uokoke basi na mie pia hao watanifaa. ngoja nje basi tuokoke pamoja. ya shetani tumwachie shetaniNimeokoka, jpili walikuja wapendwa wenzangu tumeshinda tunaomba na kuimba, karibu nawewe kaka hivi vya duniani vinapita kaka angu
Kwani hao wanaume wanachiti na mawe? Tuanzie hapo kwanza.Umempenda mwanamke umemuoa means hadi umemuoa umeridhika nae na umekubali kuandamana naye tu wewe ni mume wa mtu sasa, kuacha kucheat kwa mkeo haiwezekani? Ukawa mwaminifu kwake hadi kifo kiwatenganishe haiwezekani?
Naongea hivi sababu wanaume ndo mnaongoza kucheat kwenye ndoa, kila kona wanawake wanalalamika mume wangu anacheat mume wangu anacheat mnasingizia asili, asili ipi hiyo?Nini kinachowafanya mchepuke wanaume? Kuna kipya ambacho mkeo hana?Tofauti ni nini wanaume?
Cheaters wakubwa ni wanandoa kwa wanandoa. Kuchapiana.Hivi wanaume wanacheat na wasiofunga ndo pekee? Wanawake walioko kwenye ndoa wao hawacheat?
KWAKWELI, WAHUDUMU, BAJAJ, BODABODA, MATAKSI DRIVERS WANA SIRI ZA WATU WENGI SANA KUWA NI WACHEPUKAJI..!! Hata viongozi wa dini mbalimbali nao siri zao wanazo sanaCheaters wakubwa ni wanandoa kwa wanandoa. Kuchapiana.
Naendesha lodge mtaa fulani, nimekodishiwa na mmiliki. Mwanzoni nilikuwa na tabia ya kushinda pale siku za wikiendi kufuatilia biashara yangu (sina biashara nyingine zaidi ya hiyo). Nikawa nashangaa mbona siku za wikiendi mapato yanakuwa madogo zaidi kuliko siku za kawaida wakati najua wikiendi ndio watu wanapumzika kwa sana? Mhudumu akanipa siri "Mzee unaharibu mwenyewe biashara yako, ukiwepo hawaji!"
Nikauliza kivipi? Nikajibiwa kuwa wateja wengi ni hawahawa wazee wenzangu na shemeji zangu, nikiwepo wanajua na wananionea aibu, kwahiyo wanachepukia kwengine!
Wachepukaji ni walewale, nasisitiza. Waliooa na walioolewa. Kitaa ni balaa. Wahudumu wa lodge wanaona mengi, na wanatunza siri ili biashara iendelee.
Shemela Evelyn Salt au ndo kale kamsemo kuwa, SHETANI AKIZEEKA ANAGEUKA KUWA MALAIKA?Nimeokoka, jpili walikuja wapendwa wenzangu tumeshinda tunaomba na kuimba, karibu nawewe kaka hivi vya duniani vinapita kaka angu
Umempenda mwanamke umemuoa means hadi umemuoa umeridhika nae na umekubali kuandamana naye tu wewe ni mume wa mtu sasa, kuacha kucheat kwa mkeo haiwezekani? Ukawa mwaminifu kwake hadi kifo kiwatenganishe haiwezekani?
Naongea hivi sababu wanaume ndo mnaongoza kucheat kwenye ndoa, kila kona wanawake wanalalamika mume wangu anacheat mume wangu anacheat mnasingizia asili, asili ipi hiyo?Nini kinachowafanya mchepuke wanaume? Kuna kipya ambacho mkeo hana?Tofauti ni nini wanaume?
Shemeji achana na mimi 😂😂😂Shemela Evelyn Salt au ndo kale kamsemo kuwa, SHETANI AKIZEEKA ANAGEUKA KUWA MALAIKA?
Aagh WAPII.. NAANZAJE?Shemeji achana na mimi 😂😂😂
Kuna kipya ambacho mkeo hana?Umempenda mwanamke umemuoa means hadi umemuoa umeridhika nae na umekubali kuandamana naye tu wewe ni mume wa mtu sasa, kuacha kucheat kwa mkeo haiwezekani? Ukawa mwaminifu kwake hadi kifo kiwatenganishe haiwezekani?
Naongea hivi sababu wanaume ndo mnaongoza kucheat kwenye ndoa, kila kona wanawake wanalalamika mume wangu anacheat mume wangu anacheat mnasingizia asili, asili ipi hiyo?Nini kinachowafanya mchepuke wanaume? Kuna kipya ambacho mkeo hana?Tofauti ni nini wanaume?
Sio kwamba wanaume ndo wanaongoza kucheat, wanaume wanaongoza kuwa careless kwenye kucheat kugundulika ni rahisi. Wanawake wako makini sana kwenye cheating wanafanya kimya kimya.Umempenda mwanamke umemuoa means hadi umemuoa umeridhika nae na umekubali kuandamana naye tu wewe ni mume wa mtu sasa, kuacha kucheat kwa mkeo haiwezekani? Ukawa mwaminifu kwake hadi kifo kiwatenganishe haiwezekani?