Wanaume mlioko kwenye ndoa mnisaidie hapa

Wanaume mlioko kwenye ndoa mnisaidie hapa

Haya mliooa Tafadhali mje mtuambie n nini kinachowafanya msimtulize huyo athumani kichwa wazi tundu la utosi kwa wake zenu
Hao wasio olewa wasaidiwe na nani ikiwa kila mwanaume atatulia na mke wake? acha tuwasaidie na wao pia jamani.
 
Umempenda mwanamke umemuoa means hadi umemuoa umeridhika nae na umekubali kuandamana naye tu wewe ni mume wa mtu sasa, kuacha kucheat kwa mkeo haiwezekani? Ukawa mwaminifu kwake hadi kifo kiwatenganishe haiwezekani?

Naongea hivi sababu wanaume ndo mnaongoza kucheat kwenye ndoa, kila kona wanawake wanalalamika mume wangu anacheat mume wangu anacheat mnasingizia asili, asili ipi hiyo?Nini kinachowafanya mchepuke wanaume? Kuna kipya ambacho mkeo hana?Tofauti ni nini wanaume?
Kila mwanadamu mwenye matamanio anacheat haijalishi ni mwanamke au mwanaume,
Nakupa mfano tu ilikuwa nwaka jana kuna jamaa tulimaliza naye chuo alipata bint wakawa kwenye mahusiano miaka kama miwili jamaa ni mtu wa dini sana harafu ni mwoga kiasi kwa mabinti ,
Hata mabinti walipo jaribu kumtongoza jamaa alikuwa akimuonyesha mchumba wake sms zile na demu anaenda kukiwasha kwa kuwatukana na kushikana mashati,
Ila jambo la kushangaza demu kila baada ya wiki mbili alikuwa anatoroka chuo anaenda kulala na wanaume mkoa tofauti na alikuwa akikaa huko siku tano au hata mbili, jamaa amekuja kugundua tunakaribia kumaliza chuo, mshikaji mpaka leo hii hana hamu na mademu mbaya zaidi demu amemsingizia ujauzito ambao umetoka uliokuwa unakaribia kuzaliwa kuwa ni wake jamaa yetu, ili hari alimficha kipidi cho cha ujauzito jamaa hakuwa na taarifa yoyote.
nakuusiausipende kulaum upande mmoja
 
Umempenda mwanamke umemuoa means hadi umemuoa umeridhika nae na umekubali kuandamana naye tu wewe ni mume wa mtu sasa, kuacha kucheat kwa mkeo haiwezekani? Ukawa mwaminifu kwake hadi kifo kiwatenganishe haiwezekani?

Naongea hivi sababu wanaume ndo mnaongoza kucheat kwenye ndoa, kila kona wanawake wanalalamika mume wangu anacheat mume wangu anacheat mnasingizia asili, asili ipi hiyo?Nini kinachowafanya mchepuke wanaume? Kuna kipya ambacho mkeo hana?Tofauti ni nini wanaume?
Je
Hoja yako ipo based na malalamiko ya wanawake walio ndani ya ndoa kusema wanasalitiwa na waume zao?

Hebh fanya tafiti kidogo utakuja kushikilia moyo wako kwa utakayokuja kuyagundua.

Enwwei, oa kwanza kisha njoo tuzungumze baada ya mwaka wa kwanza wa ndoa yenu

Muone kwanza, bichwa lile😡
 
Hivi kuna ambao bado wanalalamika mume kucheat? Muda mrefu sijawasikia...mambo ni bulbul
Huyu mwenzenu mwambieni kwenye maisha kuna Reality &Fantasy..

Mwambieni kimoja kati ya hiko ni lazima na kingine ni 50/50 msawazia😊
 
Tatizo la wanawake wengi mkisha olewa Kila kitu mnaanza kufa kwa mazoe sio Kama inavyo takiwa huku nje anaye jua kuwa ana pitiwa tu anafanya ipasavyo📌📌📌
 
Umempenda mwanamke umemuoa means hadi umemuoa umeridhika nae na umekubali kuandamana naye tu wewe ni mume wa mtu sasa, kuacha kucheat kwa mkeo haiwezekani? Ukawa mwaminifu kwake hadi kifo kiwatenganishe haiwezekani?

Naongea hivi sababu wanaume ndo mnaongoza kucheat kwenye ndoa, kila kona wanawake wanalalamika mume wangu anacheat mume wangu anacheat mnasingizia asili, asili ipi hiyo?Nini kinachowafanya mchepuke wanaume? Kuna kipya ambacho mkeo hana?Tofauti ni nini wanaume?
Sasa naona utakuwa umeshapata jibu kuwa kuna jipya huko nje na kwamba nyama sio ile ile🤣🤣🤣🤣
 
Hivi kuna ambao bado wanalalamika mume kucheat? Muda mrefu sijawasikia...mambo ni bulbul
Mwanamke wewe ni chizi but ni chizi ambaye kila mwanaume angependa kuwa nae kama mke🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom