Emoj
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 839
- 1,304
Umempenda mwanamke umemuoa means hadi umemuoa umeridhika nae na umekubali kuandamana naye tu wewe ni mume wa mtu sasa, kuacha kucheat kwa mkeo haiwezekani? Ukawa mwaminifu kwake hadi kifo kiwatenganishe haiwezekani?
Naongea hivi sababu wanaume ndo mnaongoza kucheat kwenye ndoa, kila kona wanawake wanalalamika mume wangu anacheat mume wangu anacheat mnasingizia asili, asili ipi hiyo?Nini kinachowafanya mchepuke wanaume? Kuna kipya ambacho mkeo hana?Tofauti ni nini wanaume?