Wanaume mlioko kwenye ndoa mnisaidie hapa

Umempenda mwanamke umemuoa means hadi umemuoa umeridhika nae na umekubali kuandamana naye tu wewe ni mume wa mtu sasa, kuacha kucheat kwa mkeo haiwezekani? Ukawa mwaminifu kwake hadi kifo kiwatenganishe haiwezekani?

Naongea hivi sababu wanaume ndo mnaongoza kucheat kwenye ndoa, kila kona wanawake wanalalamika mume wangu anacheat mume wangu anacheat mnasingizia asili, asili ipi hiyo?Nini kinachowafanya mchepuke wanaume? Kuna kipya ambacho mkeo hana?Tofauti ni nini wanaume?
Hivi wanaume wanacheat na wasiofunga ndo pekee? Wanawake walioko kwenye ndoa wao hawacheat?
 
Mhm tuache utani besty yaani nyie hamtaki kuonja de libolo tofauti za kina mzabzab
Hapana best, Mungu hapendi ujue..ila kwa wanaume mkicheat anafurahia. Ndo nature yenu mmeumbwa hivyo. Keep going guys!
 
Ukipiga nyeto unamwaga watoto chini
Bado wanakuwa si watoto..!! Hata hao niliomwagia ndani na mimba isitokee nako ni sawa na punyeto tu..!! Maana mbususu ya kweli na mkono wenye sababu vyote sawa tu na hasa ukihusisha maji ya moto
 
😅😅 haya bwana
 
Umempenda mwanamke umemuoa means hadi umemuoa umeridhika nae na umekubali kuandamana naye tu wewe ni mume wa mtu sasa, kuacha kucheat kwa mkeo haiwezekani? Ukawa mwaminifu kwake hadi kifo kiwatenganishe haiwezekani?

Naongea hivi sababu wanaume ndo mnaongoza kucheat kwenye ndoa, kila kona wanawake wanalalamika mume wangu anacheat mume wangu anacheat mnasingizia asili, asili ipi hiyo?Nini kinachowafanya mchepuke wanaume? Kuna kipya ambacho mkeo hana?Tofauti ni nini wanaume?
Ukweli ni kwamba ndoa nyingi (sio zote) zimetokea kwa sababu mwanamke ndie kaforce aolewe. Wanawake wengi wanalazimisha kuolewa.
Ndio maana wanaume wengi (sio wote) wanacheat, kwa sababu wamejikuta kwenye ndoa bila kupenda wakiwa wanaendelea kutafuta mtu sahihi
 
Back
Top Bottom