tukiachilia mbali zile zenye magonjwa mpendwa k ni ileile, halafu ujue nae anakuvumilia? au unadhani wewe uko mpya?hapana k siyo ile ile ndo mana ile niya asha na ile ya mariam,ile ni dimbwi ile ni kavu,ile kitu mnato ile bangaloo kwahiyo k hazifanani lazima nitafute ladha ingine na mpya kwangu
kwanini uchoke kumbadilisha? kubadilisha tabia ya mtu sio kitu cha hapo kwa hapo inachukua muda smtms hadi mtu abadilike, mweleze mke wangu hapa iwe hivi ipo siku atakuelewa tu na sio kuchepukaUna uhakika gani kuwa Wanaume ndio wanaoongoza?
Hatahivyo vitu vinavyowafanya wanaume wengi wachepuke ni vifuatavyo:-
1) Kujisahau kwa mwanamke katika kujiweka swafi kimavazi,mfn kuvaa vizuri,na kuwa na zile swags alizokuwa nazo kabla ya kuolewa.
2) Kutokuwa MSAFI wa mwili wake na mazingira ya nyumba yake yaani chumbani na kwingineko.
3) KERO, UBISHI NA KUJILINGANISHA NA MUME,hili wanalo sana wanawake wasomi. yaani kujishusha,kukiri kosa au kunyenyekea kwake ni mwiko.
4) Kuwa mvivu kitandani,hata pale unapomfundisha utashangaa tu kusikia akisema mie nimechoka bana au naumia ujue...au aanze kuongelea habari za biashara zake au za kuhusu mambo ya mtoto wa shuleni na wakati si wakati wake.
Kua uyaone zaa watoto wawili watatu hivi halafu uwe na bugu bugu hivi, ongeze kero kero kisha punguza heshima, ongeza uvivu uwe na kijiodo kudogo then uje utupe ushuhuda mpya kama mumeo hatacheat!!tukiachilia mbali zile zenye magonjwa mpendwa k ni ileile, halafu ujue nae anakuvumilia? au unadhani wewe uko mpya?
Unamaanisha wewe hujui kumbembeleza mkeo unataka wewe tu umbembelezwe nyambaf wewe.Michepuko inajua sana kumbembeleza mme wa mtu hadi adate.
one sided story.....Umempenda mwanamke umemuoa means hadi umemuoa umeridhika nae na umekubali kuandamana naye tu wewe ni mume wa mtu sasa, kuacha kucheat kwa mkeo haiwezekani? Ukawa mwaminifu kwake hadi kifo kiwatenganishe haiwezekani?
Naongea hivi sababu wanaume ndo mnaongoza kucheat kwenye ndoa, kila kona wanawake wanalalamika mume wangu anacheat mume wangu anacheat mnasingizia asili, asili ipi hiyo?Nini kinachowafanya mchepuke wanaume? Kuna kipya ambacho mkeo hana?Tofauti ni nini wanaume?
kubali ukatae k hazifanani overtukiachilia mbali zile zenye magonjwa mpendwa k ni ileile, halafu ujue nae anakuvumilia? au unadhani wewe uko mpya?
Ndoa nyingi hazina upendo WA dhati, wengi wameolewa/wameowa kwasababu tamaa ya kuoa/kuolewaUmempenda mwanamke umemuoa means hadi umemuoa umeridhika nae na umekubali kuandamana naye tu wewe ni mume wa mtu sasa, kuacha kucheat kwa mkeo haiwezekani? Ukawa mwaminifu kwake hadi kifo kiwatenganishe haiwezekani?
Naongea hivi sababu wanaume ndo mnaongoza kucheat kwenye ndoa, kila kona wanawake wanalalamika mume wangu anacheat mume wangu anacheat mnasingizia asili, asili ipi hiyo?Nini kinachowafanya mchepuke wanaume? Kuna kipya ambacho mkeo hana?Tofauti ni nini wanaume?
Sio kila ndoa inaupendo WA dhati, nyingi ni maigizoUmempenda mwanamke umemuoa means hadi umemuoa umeridhika nae na umekubali kuandamana naye tu wewe ni mume wa mtu sasa, kuacha kucheat kwa mkeo haiwezekani? Ukawa mwaminifu kwake hadi kifo kiwatenganishe haiwezekani?
Naongea hivi sababu wanaume ndo mnaongoza kucheat kwenye ndoa, kila kona wanawake wanalalamika mume wangu anacheat mume wangu anacheat mnasingizia asili, asili ipi hiyo?Nini kinachowafanya mchepuke wanaume? Kuna kipya ambacho mkeo hana?Tofauti ni nini wanaume?
Mkuu, kuna kumbembeleza mke lakini bado yuko vilevile habadiliki.Unamaanisha wewe hujui kumbembeleza mkeo unataka wewe tu ubembelezwe nyambaf wewe.
Tena ukiakijiriwa serikalini ( wanaume wapoleee) kufukuzwa kazi sahau.Tatizo mwajiriwa anajua kuwa kufukuzwa kazi ni process ndefu na pia hata aspoenda kazini mshahara upo pale pale,.. kibarua yeye atajitaidi kufanya kaz kwa bidii ili amridhishe mwajiri na akitega tu basi apati pesa
ok sawa huyo wa nje anafanya mbwembwe,ndo ucheat? why usimwambie mkeo ajirekebishe pale alipokosea?
Haha well saidTena ukiakijiriwa serikalini ( wanaume wapoleee) kufukuzwa kazi sahau.