Michepuko mitamu balaaa yani anafanya vitu had unapenda ila sasa make Mara anune,kupika alike mdada Wa kaz, bado mchafu,kwenye bed unazinguwa tu unalala kama maiti hutikisiki,Mara umechoka, yani sababu nyinyi nyingi sasa si bora nimtafute mchepuko Nile vitu vitamu na kubembelezwa kama mtoto
Badilikeni mkiwa mjaolewa mnambwembwe ila mkishaolewa tu basis mbwembwe zote mnaacha mnajifanya eti mmekuwa ,kwenye kupeana raha hakuna kukuwa binuka weka mguu 90 degrees ili mwenzako aweze kufaidi
Ndiy mama waliyoowa wengi wanamichepuko yao ,wew huoni MTU anatoka kazini SAA kumi ila anakuja home SAA tano au NNE na bado wikend hakaliki home anaenda kupewa raha na kupata supu nzuri siyo wew asubuh tu umempikia michai ya rangi na mikate
Kwanza niishie hapa takuja baadaye