AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,649
- 4,756
Hawa wadudu wana ladha tofautiNgono siyo kila kitu. Unalala na Asma saa hii saa mbili mbele unalala na Esma saa moja mbele ukiulizwa tofauti ya ladha za hawa wawili hautakua na jibu coz you won't remember shit.
Now unajipaka vitu, unameza vitu, unakunywa vitu ili nini?
Lishe, uchaguzi sahihi, free stress muhimu zaidi mfukoni uwe sawa.Tiba ya nguvu za Kiume ni Kula Vizuri tu!
Wenye akili wataelewa hili
kahawa iliotiwa vikorombwezo vya ela yoteAl kasuku ndio vitu gani?
Mkubwa nakuunga mkono..Tiba ya nguvu za Kiume ni Kula Vizuri tu!
Wenye akili wataelewa hili
[emoji106][emoji106][emoji106]Plus mazoezi!Tiba ya nguvu za Kiume ni Kula Vizuri tu!
Wenye akili wataelewa hili
Kuna vyakula ukila, hata usimamaji wa Uume unausikia ni wa tofauti kabisa. Unakisikia kitu kinasimama kwa uzito wa kutosha.Mkubwa nakuunga mkono..
Kuna sehemu huwa nashinda sasa wife huwa ananipikia uji wa ule wenye mchanganyiko wa Nafaka najaza kwenye chupa, kisha nabeba na karanga zangu mbichi kama kikombe cha nusu lita, mpaka inafika jioni nakuwa nmemaliza.
Asiee,, wakuu nmeona tofauti kubwa sana sana, yani hata mchana nikikaa hivi kitu kinainuka. Kiufupi hata wife jana imebidi aniambie siku hizi umekuaje mbona unataka kila siku[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani wanaume wa Dar wanafanya vidume vyote nchi hii tuonekane hopeless
True that...Kuna vyakula ukila, hata usimamaji wa Uume unausikia ni wa tofauti kabisa. Unakisikia kitu kinasimama kwa uzito wa kutosha.