Wanaume mbona tutalishwa vingi...

Wanaume mbona tutalishwa vingi...

Mkubwa nakuunga mkono..

Kuna sehemu huwa nashinda sasa wife huwa ananipikia uji wa ule wenye mchanganyiko wa Nafaka najaza kwenye chupa, kisha nabeba na karanga zangu mbichi kama kikombe cha nusu lita, mpaka inafika jioni nakuwa nmemaliza.

Asiee,, wakuu nmeona tofauti kubwa sana sana, yani hata mchana nikikaa hivi kitu kinainuka. Kiufupi hata wife jana imebidi aniambie siku hizi umekuaje mbona unataka kila siku[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuja pm umenitamanisha,
 
Hivi hao wanaume wasio na nguvu wanapatikana wapi

Mbona sijawahi kukutana nao[emoji23][emoji23]
Huku mikoani hamnaga ila Dar wamejaa sana, wanawake wanapata tabu
 
Back
Top Bottom