Wanaume mbona tutalishwa vingi...

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,541
4,530
Al Kasusu...

Hebu mtu anielezee kinaga ubaga...

Naamini NGUVU ZA KIUME NI KUJIAMINI NA UHURU...LAKINI UKIWA UPO KATIKA ZINAA NI NGUMU SANA KUPERFORM...

FB_IMG_1572585266413.jpeg
 
sijui ndio nini hiyo maana ukienda kwenye vilabu vya kahawa...wanaiuza sana kikombe kuanzia shilingi 500/=
 
Ngono siyo kila kitu. Unalala na Asma saa hii saa mbili mbele unalala na Esma saa moja mbele ukiulizwa tofauti ya ladha za hawa wawili hautakua na jibu coz you won't remember shit.

Now unajipaka vitu, unameza vitu, unakunywa vitu ili nini?
 
Hawa wadudu wana ladha tofauti
 
Tiba ya nguvu za Kiume ni Kula Vizuri tu!

Wenye akili wataelewa hili
Mkubwa nakuunga mkono..

Kuna sehemu huwa nashinda sasa wife huwa ananipikia uji wa ule wenye mchanganyiko wa Nafaka najaza kwenye chupa, kisha nabeba na karanga zangu mbichi kama kikombe cha nusu lita, mpaka inafika jioni nakuwa nmemaliza.

Asiee,, wakuu nmeona tofauti kubwa sana sana, yani hata mchana nikikaa hivi kitu kinainuka. Kiufupi hata wife jana imebidi aniambie siku hizi umekuaje mbona unataka kila siku
 
Mwanaume kuwa strong ni kula vizuri na kufanya mazoezi, hayo mengine ni mbinu za watu kutengeneza pesa kutokana na mapungufu ya vijana wengi,Haiwezekani mtu mchana asubuhi mihogo rost,mchana chipsi zege mayai yasiyo na baba usiku chipsi kavu unalala unataka ushinde goli 5,hapo hata povu halitoki
 
Mkubwa nakuunga mkono..

Kuna sehemu huwa nashinda sasa wife huwa ananipikia uji wa ule wenye mchanganyiko wa Nafaka najaza kwenye chupa, kisha nabeba na karanga zangu mbichi kama kikombe cha nusu lita, mpaka inafika jioni nakuwa nmemaliza.

Asiee,, wakuu nmeona tofauti kubwa sana sana, yani hata mchana nikikaa hivi kitu kinainuka. Kiufupi hata wife jana imebidi aniambie siku hizi umekuaje mbona unataka kila siku
Kuna vyakula ukila, hata usimamaji wa Uume unausikia ni wa tofauti kabisa. Unakisikia kitu kinasimama kwa uzito wa kutosha.
 
Hivi hao wanaume wasio na nguvu wanapatikana wapi

Mbona sijawahi kukutana nao
 
Back
Top Bottom