Inabidi uolewe na MTU kama baba yako.Huyo ni babaangu Baba Zurie ....amekaa karibu na friji na kabati la vyombo lakini atakuita wewe wa chumbani umuwekee maji ya kunywa. Umemuwekea chai ukasahau kijiko cha kuwekea sukari, anakiona kabatini lakini hawezi kukichukua bali atakuita umletee.
Mkewe akaamua kurahisisha maisha akaweka kikabati kidogo na friji chumbani kwao, yuko kitandani anamuita mama aliye nje aende kumpa juice. Hahahaahah...
Kaa mkao...waowaji tutakuja tuuJamani mbona Mimi sipati bahati niolewe nimuhudumie mume wangu mie Dada juzi umekuja nakesi ya kufua boxer Leo kutumwa namume
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijutie ni jukumu lako kama mke kufanya hivyo, vinginevyo kafanye bundumba nyumbani kwenu.Kuna wanaume wanapenda u-mwinyi bwana, yaani anaamka anaenda kuoga wakati anaoga unatandika kitanda na kuweka mazingira ya chumba vizuri. Unakwenda jikoni kuandaa chai, anatoka bafuni na taulo kiunoni anatafuta atavaa boxer na kama atakumbuka mafuta basi itakuwa kwenye viganja vya mikono. Taulo atakuachia juu ya kitanda si tatizo lake tena.
Mezani umeandaa chai na vitafunio hata kama chumvi haisikiki mfano kwenye mayai atakuita ukamchukulie jikoni hapo ni baada ya kukuita umletee maji ya kunawa na tissue ya kujikaushia.
Yaani ameshindwa kabisa kwenda kunawa jikoni au bafuni au kwenda jikoni kuchukua chumvi. Na akimaliza kula hataondoa hata kijiko mezani anaacha kila kitu pale anakwenda kukaa kwenye sofa anaangalia mpira, kusoma gazeti au anachat kwenye simu. Hiyo ni weekend.
Basi bibie ukisikia mapenzi ndo hayo, mapenzi raha yake ni kwamba lazima mmoja aumie kwa upande wake na kwa wakati wake.Kama Nina muda mwache tu ntafanya ila nikikosa atajifanyia mwenyewe
Miaka ya nyuma kidogo, Mzee wangu na maza walirudi wote kutoka mihangaikoni midaa ya SAA tano usiku, msosi waliokuta dingi akadai kitunguu hakijaiva na akasusa kula, mama akamwambia hivi "baba Jane unaposusa kula hauwakomoi kina Jane unanikomoa Mimi maana siwez kula bila wewe kula, dingi kimya, maza akaingia jikoni hapo mida ya SAA sita akapika chakula kingine akamtengea Mzee, Mzee akala alipomaliza akajichekelesha na kwenda kulala. Asbh maza anatuadisia kiukweli niliumia ingawa huyu maza ni step maza Ila nilimuhurumia sana
invest what you are willing to lose
All in all nyie mnaumuhimu Mkubwa sana kwetu.Ila humu kwenye ID za kujificha ndo mtujue wakinamama tulivyo. Tunacheka usoni moyoni majungu na majanga. Kutujua sisi kazi sana hasa tunapoweka maslahi yetu. Mbele.
Tena inafaa nikiagiza toothpick washindane kwenda kuleta, nani wa kwanza kuifikia kopo.Na ukiletewa chumvi unaitisha tooth pick
Nishagundua una matatizo ya kupangilia nyumba yakoNa ukiletewa chumvi unaitisha tooth pick
Hiyo sentensi ya mwisho ni sentenceHapa ni kwenda kutafuta house girl tuuu...
Awe ananihudumia..!
Hujaelewa mada.Mzazi wetu alihakikisha tunajua kila Kitu katika ukuaji wetu.
Hakuna ambacho kinafanyika ndani ya nyumba hakutufundisha.
Ila wanaume alituambia ametufundisha ili tuweze kujitegemea na kuwasaidia wake zetu wanapozidiwa.
Sio tupangiwe zamu.
Haya mawazo mliyonayo wadada wengi Ndio Maana mnaishia kututia hasara za kuchangia harusi aafu inavunjika Baada ya miezi miwili.
Kama unajijua unataka haki sawa usitafute mwanaume WA kiafrica.
Kaa tu kwenu uendelee kuzaa na waume za watu.
Hakuna mwanaume WA kiafrika wa 50/50. Hayupo. Hata baba yako kama unamfahamu hakuwa hivyo.
huwa mnakosea pale mnapofikiria mtaibadilisha jamii.
Yaani wewe utoke kwenu Uje kunikunja Mimi nikiwa mzee kabisa.!!
Kama mtu hajafundishwa kwao ndio imekula kwako hivo.
Hutaki kukubaliana, usiołewe!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaaaaMichango yenu wengine inaonyesha mna migogoro
Ng'ombe hajawahi kulemewa na nundu lake hata siku moja.
Wazee wangu washazeeka hawafanyi ujinga huoBasi bibie ukisikia mapenzi ndo hayo, mapenzi raha yake ni kwamba lazima mmoja aumie kwa upande wake na kwa wakati wake.
(Sorry kwa hii sentensi ifuatayo maana ni wazazi wetu) inawezekana mama yako alikuwa na hamu ya show sasa kama mzee asingekula usiku huo show asingepata. Ovaa
Ndo tatizo la wanawake ambao hamkufundwa hili,Ile umeamka asubuhi ukawahi sehemu ukamuacha kalala ukirudi jioni hajatandika kitanda, hajaoga kalala kisa haukuwepo ukamuandalia maji utafikiri unaishi na chizi. Wanawake tuna tabu sana.
Well said, tatizo vibinti vya siku hizi havifundwi, mambo ya unyago na makungwi siku hizi hakuna madam!!Hayo mambo tushazoea kwenye ndoa we r Tanzanian hata usomeje mwanamke lazima mumeo umhudumie kila kitu wengi tunafundishwa hvyoo
Ni jambo la kawaida pia kwetu ukiona ananuna mke hajafundwa au uzungu mwingi
My own brand!!