Ndo raha ya kuwa na mke...akimaliza huduma zote akija sitting room nampakata nampozapoza kwa mahabbat anafurahi siku inapita vizuri....Sasa Sky wewe unataka 50/50 nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbitiyaza hukusoma kwa umakini..hebu rudia kusoma tena then utaona nilichoandika...nimesema nampakatanakupakata? yaan dume zima ina kilo 90 nilipakate mm wa kilo67?? au sijakuelewa mkuu!heheheh niolewe tena bas jaman kha
Mbitiyaza hukusoma kwa umakini..hebu rudia kusoma tena then utaona nilichoandika...nimesema nampakata
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umuache kuliko umtese. Na pia wapo wanawake wengi ambao hawahitaji ndoa wanataka kuzaa tu kama wewe. Nenda kwa hao...
Hahahahaaa kuridhishana muhimu mkuuohoo unampakata mkeo sitting room ! haya mzee baba !
Bora umuache kuliko umtese. Na pia wapo wanawake wengi ambao hawahitaji ndoa wanataka kuzaa tu kama wewe. Nenda kwa hao...
Yeah pesa pia ni haki mke kumpa..lakini punguzeni kupenda pesa more than too much...hakuna kubwa katika ndoa kama kutosheka na penzi la dhati lenye uaminifu...wenzio wanapenda kupetiwa wewe wauita utotona 'pesa' pia sio kunipe peti km mtoto
Sky anapenda 50/50 yaani kumhudumia mumewe ni tatizo kwakeJamani mbona Mimi sipati bahati niolewe nimuhudumie mume wangu mie Dada juzi umekuja nakesi ya kufua boxer Leo kutumwa namume
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hizo kazi pia unaweza ajiri mtu akakufanyia zoote, kwa ufanisi Mkubwa tu. (Kama ambavyo hizo .... Unaeza kuzipata mtaani) So usioeSiju hizi tunaoa ili tupikiwe,tufuliwe,tuoshewe vyombo,tupate watoto...sio sababu ya ngono hivo mke mwema ni yule anayeweza hayo majukumu...kama k. Zipo kibao mtaani huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa subiri kigeugeu baadaewakati wakutaka kuolewa ulisumbua wazazi umempenda unaulizwa unauwakika ndio basi utulie
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbiti kwani we humpakati my hubby wako? Ina maana kilo 90 huwezi kuzibeba kwelinakupakata? yaan dume zima ina kilo 90 nilipakate mm wa kilo67?? au sijakuelewa mkuu!heheheh niolewe tena bas jaman kha