Wanaume leo nawafundisha kanuni rahisi ya kutunza hela

Mimi nafikiri inategemea na unafanya shughuki gani..kuna jamaa yangu alishawahi tunza mpunga cash ukafika mpaka 60m...na kutumia anatumia akipata 800,000 anatoa 200,000..inayobaki anaweka kwenye kibubu...5.3m tshs 300,000 anatumia...discipline inategemea na akili yako wewe..mwenyewe
Yes kama unaingiza laki nane kwa siku na wewe matumizi yako kwa siku ni chini ya elfu arobaini. Unaweza weka laki sita ( hii inakuwa un disturbed )then laki mbili ikawa inatumika kwenye mambo mengine na kula bata inawezekana pia
 
sasa laki 8 kwa siku wee si boss kabisaa.. shida wale wa kutegemea apate mshahara mwisho wa mwezii yanii kuweka akibaa ngumu sanaa
 
Usikute hata ule msemo " wanaume hatujui kutunza pesa" ulianzishwa na bushman kama GENTAMYCINE

But don't just take it seriously. Ni uongo kama porn site inayo kwambia kuna demu mrembo anataka kukazwa jirani na mtaa unaoishi.

Hata mimi zamani nilikuwa kama wewe.

Nilikuwa siwezi kutunza pesa kama wewe.

Ila baada ya kuigundua siri hii mwaka 2014 nimefanikiwa kufanya vitu vingi sana..

KOSA LINALO FANYWA NA WANAUME WENGI.

Ni kujaribu kutunza asilimia themanini HADI tisini ya pesa anayo ingiza.

kwa mfano akiingiza laki moja anataka eti atunze elfu themanini halafu ishirini ndio ai spend. Hell no ! Ukiamini hili linawezekana basi unaweza amini hata Maneno ya Wema Sepetu au Lulu Diva anapo kwambia " I love You Too".

Unacho kifanya hapo ni sawa na mbongo kununua soda na matunda/ beer/wine aweke kwenye fridge halafu awe ana tumia kidogo kidogo kika siku..

Hata kama ni budget ya kukaa kwenye fridge kwa Mwezi mzima mbongo ataimaliza chini ya wiki.

Utapata tatizo kidogo utaishia kuitumia hiyo hela uliyo itunza halafu mwisho wa siku uta give up the project, miaka itakuwa inaenda na kurudi bila wewe kutimiza malengo.

TUFANYE NINI BASI EEH RABBI

Kanuni bora na ya uhakika ya kutunza pesa ni kutunza asilimia kumi HADI ishirini ya pesa uliyo/ unayo itengeneza.

kwa mfano kama kwenye biashara yako unaingiza shilingi laki moja. Tunza sh elfu ishirini, elfu themanini tumia kwenye mambo mengine... Ukufanya hivyo baada ya miaka miwili au mitatu utakapo enda kutazama ki piggy bank chako utajikuta umetunza kiasi kikubwa tu cha pesa ambacho unaweza kufanya kitu kikubwa cha maana.

KWA UFUPI: ILI UWEZE KUFANIKIWA KUTUNZA PESA KWA UHAKIKA, UNATAKIWA KUHIFADHI ASILIMIA KUMI HADI ISHIRINI YA PESA AMBAYO UME I INGIZA NA SIO KINYUME CHAKE
20/80
 
Nilipo maliza chuo nilikuwa naingiza hiyo na zaidi kwa siku( I was doing some business enzi za Jk) lakini nilikuwa natumia vibaya sana sikuwa naweka akiba
 
Post haiwezi Kukubalika kwa Members mpaka Uisindikizie na Brand ID ya Mbarikiwa vingi na Mwenyezi Mungu GENTAMYCINE.
 
Nimetoa mfano halisi mkuu. Character yako ina shabihiana na mfano wangu
 
Back
Top Bottom