Wanaume kwanini mna tabia mbaya?

wewe una matatizo, nije nitoe kwako? kama huyo wako hatoi ni matatizo yako, usije ropoka huku .....
Toa kwako,,,sijui hata kama umeelewa mada ,naropoka hapa kwani sio kwako sawa
 
Sababu kubwa hapa ni mwanamke mwenyewe...unakuta wewe unaamka saa 11 alfajiri lakini mkeo anaamka saa mbili sasa unadhani kitatokea nini zaidi ya kuoga kunyoosaha nguo nakusepa?
Wanawake lazima mtambue kuwa haya ni manyanyaso makubwa sana kwa waume zenu.
 
Kuna mmoja alichemsha samaki na magamba yake
Haaa haa huyo kwao hakuna samaki kazoea kununua wale wa barabarani huyo mzima hamjui kumtengeneza, mf.watu wengi wananunua kuku za vipande hawajui kumtengeneza kuku mzima sasa mpelekee kuku mzima au nazi kama hajalitumbukiza lote kwenye sufuria la mchele[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Yaan mi naona live sio kusimuliwa unakuta familia wana uwezo lakin chakula hakifanani na hiyo nyumba,,,wanakula hovyo hovyo tu ,,, yaan watoto kula pilau mpaka sikukuu na sikukuu
Mimi hiyo family ya bi mkubwa nilikuwa na urafiki na binti wa huyo baba siku nimeenda kwa mdogo Mungu wangu nilichoka.

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Acha umbea aiseee, maisha ya watu yanakuhusu niniiii??

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Hata kama tunakula vinono... si tunakula kwa jasho letu. Watoto wasubiri wakiwa wakubwa nao watafaidi...
Mtoto anajengwa akiwa mdogo mkuu

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo maana wanapata laana za watoto wanazeeka vibaya

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Mi huwa nachukizwa na hii tabia mbaya ya kujumuisha kundi zima kwa makosa ya mabwege wachache,unaposema wanaume tuna tabia mbaya unamjumlisha hadi babaako,wajomba,mababu na wanaume wengine wote hata wasio na tabia ulizozitaja,

Say no to generalisation
 
Waambie hao wabadilike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…