Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
- Thread starter
-
- #81
Unaamka saa tatu unaenda kunywa chai jirani na kwako,ufinyu upo wapi hapo wa mudahakuna ukweli hapo, coz mtu kula hotelin siyo kwamba kakimbia chai ya rangi km unavosema, sema ni ufinyu wa mda tu.
Haaa we mdingi hatari hutaki wanao wapate vitamin ya kutosha?Nyama si nzuri kwa watoto...
hahahahaahhNi kweli tunatumia nguvu kutafuta lazima tushibe jumlisha sababu za kibailojia.
ila shida tunazivulia saana ili muishi vizuri nyie.
Nyama haina vitamini. Vitamin wataipata kwenye matunda. Protini wataipata kwenye maharage...Haaa we mdingi hatari hutaki wanao wapate vitamin ya kutosha?
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Mie lazima alee asipokula nami sili hapo anapewa taarifa kama hali nami hiyo hela tukale hata kwa babanitile tusipike nyumbaniWanasingizia hivyo hebu waambie bana
Hata kama tunakula vinono... si tunakula kwa jasho letu. Watoto wasubiri wakiwa wakubwa nao watafaidi...Muda mwingine ni woga wao. Wakiona Hatupo nyumbani wanajua tunakula vinono kumbe tumejikalia vijiweni tu tunapiga stori
Unaamka saa tatu unaenda kunywa chai jirani na kwako,ufinyu upo wapi hapo wa muda[/QU
mwaname anaeamka saa tatu uyo ni mzembe, wanaume wa kweli tunaamkaga mapema sana na huo ndo uhalisia wa mwanaume wa kitanzania. so km mwanaume wako anaamka saa tatu basi jua kua ni mzembe ila sisi wengine alfajiri tuko nje ya kitanda
Nimeonyesha msisitizo aseeh.hahahahaahh
Naona na wewe umeamua kuandika kwa uchungu
Mbwa mzee hafundishwi sheria. Watakula maharage na dagaa mpaka wawe wakubwa...Unaona mambo yako tunaomba ubadilike uache uhenga wako?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hata kama tunakula vinono... si tunakula kwa jasho letu. Watoto wasubiri wakiwa wakubwa nao watafaidi...
Gea habibu kuna namna nilivyotoa maelezo yangu pale juu sijui kama yatakuwa yaliingia sawasawa kwako.Mkiishi wawili lazima mrekebishane na mkubaliane
Kuna weekend, chakula cha jioni mnakula wote hapo mke hawezi kulalamika unakuta mke hajui mme anapenda chakula gani maana siku akila nyumbani kuna wageni au ni mgonjwa[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Ahsante umeongea uhalisia kabisa, mfano Mimi kila siku naondoka nyumbani saa 10 alfajiri, kama nikisema nipate breakfast home hiyo itakua ni daku sasa. Kikubwa ni kuijali familia yako kama unavyojijali na kuyatekeleza majukumu yako kama baba.
Ule hotelin vizuri uhakikishe na home wale vizuriSometimes Kula Nje Ya Nyumban Ni Vzr Zaid