Wanaume kwanini mna tabia mbaya?

Welcome back.

Kwa kiasi chake. Ukiona mtu anajipenda zaidi ya anavyokipenda kiumbe alichokileta duniani kuna namna hapo.

Baba bora ni yule atalala njaa ila mwanae ale burger. Ila baba bora zaidi ni yule atakayekula barger na mwanae barger.
Gracious ....
Na baba asiye bora kabisa ni yule anayeenda kunywa chai ya maziwa wakati watoto nyumbani hata chai hawaijui

wahenga walisema.....(sijui walichokisema)
 
Hivi umesoma mada ukaelewa?rudia hata mara tatu kusoma uelewe bahati sina nguo chafu leo za kufua
Msingi wa hoja yako umeujenga katika malalamiko ya matumizi ya pesa ya mume! Kati ya kile akiachacho nyumbani na kile anachotumia yeye.!
Matumizi ya nyumbani yakihusisha mke na watoto.
nilichoeleza mie ni sabbu za wanaume baadhi kutowajibika kwa baadhi ya wanawake waliolewa. Katika hoja yangu kuna baadhi ya sentesi nimeziwekea mabano katika ufafanuzi zaidi. Wa hoja yangu.
kama hukinielewa au umeona nimeenfa kinyume na matarajio ya majibu kwa hoja yako samahani mkuu. Lakini chanzo kikubwa cha kutowajibila kwa wanaume nyumbani ni aina ya Mke aliye naye.!
Natumai nimeeleweka kama una nguo za kufua karibu kwa povu halisi...

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Mkiishi wawili lazima mrekebishane na mkubaliane
 
wewe usitudanganye bana, hakuna mtu mwenye uwezo afu asipende kuona familia yake inakula vizuri, tatizo wanawake mnapenda maisha ya kwenye tamthilia na icho ndo kinawacost
 
Aweke tu heshima bar. Asipoacha pesa ya matumizi anakuta kila kitu dash dash. Hakuna kulumbana na mtu siku hizi. Kila mtu atekeleze majukumu yake
 
Gracious ....
Na baba asiye bora kabisa ni yule anayeenda kunywa chai ya maziwa wakati watoto nyumbani hata chai hawaijui

wahenga walisema.....(sijui walichokisema)
Haha ila sometimes mnatuwazia mabaya bwana. Mkiona Hatupo nyumbani mnajua tunatumbua kumbe tumeshidaa na njaa tu.
 
Nilishuhudia family moja baba ana wake 2, kwa mke mdogo ngano inatumika asubuhi kwa mke mkubwa masikini ya Mungu walieanza naye maisha asubuhi baba anasimama barabarani nakuita wauza viazi na mihogo hata watatu wanashusha pale mizigo yako kwanini asigawe kote kama anawapenda mie penzi haligawanyiki yaani lazma kuna upendeleo

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Haha ila sometimes mnatuwazia mabaya bwana. Mkiona Hatupo nyumbani mnajua tunatumbua kumbe tumeshidaa na njaa tu.
Ila nasikia wanaume huwa hamuwezi kuvumilia njaa
 
Yaan mi naona live sio kusimuliwa unakuta familia wana uwezo lakin chakula hakifanani na hiyo nyumba,,,wanakula hovyo hovyo tu ,,, yaan watoto kula pilau mpaka sikukuu na sikukuu
 
Ila nasikia wanaume huwa hamuwezi kuvumilia njaa
Ni kweli tunatumia nguvu kutafuta lazima tushibe jumlisha sababu za kibailojia.

ila shida tunazivulia saana ili muishi vizuri nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…