Enzi zetu ulikuwa unaomba mdogo wako wa kiume anakusindikiza. Kwa nini na wewe unaenda alone alone ka mwanga?
mbona vitu vidogo sana hivi kwanza hayo yote yanachangiwa na mabo haya...umevaaje..kama umejipigilia umevunja kabati umejiremba sana mixa maunyunyu ya ukweli unategemea nin? eeenhhh...halafu ni kawaida kwa mwanamke kubughudhiwa so hamnaga shida...sasa ujirembe kwa sana na vitu kama hivyo then uachwe hivi hivi si ungenywea na kuweka mp3 huko kwako...ova...inatokea mwanamke unamua zako wkend kama hivi kukaa zako mahali ,maybe ukae zako alone bila bughudha uenjoy, unywe zako mbili tatu,ucheze mziki/usikilize mziki yaani urefresh kwa kifupi kimpango wako.
Sasa ukikaa zako lazima aje mwanaume akuombe kukaa na wewe akumiliki as if umekuja nae. kwani lazima ukiona mwanamke kakaa mwenyewe umfate? unaaza usumbuuufu why lakini? mbona sisi tukiwakuta mmekaa wenyewe hatuwafati bwana?
wengine anakuomba kabisa naomba hata soda moja ukisema poa linakunywa kweli,hata haogopi kununuliwa na mwanamke! daaah tuacheni tupumue? leo natembea na kiwembe
mbona kama u hasira? kwani hii mambo unakutana nayo kila siku?? badilisha viwanja,kama nipo available au sipo available inamuhusu nini mkuu? kila mtu si kaenda kwa starehe zake?
by the way sehemu za kistaarabu ni kama zipi hawaongeleshi mtu maana hapa nazungumzia viwanja vikubwa tu nimeona hii tabia.mtuache tupumue kwanza jamani?
waliopata bahati ya kuzaliwa na papuchi pia wamepata bahati ya kuwa wanatongozwa.
inatokea mwanamke unamua zako wkend kama hivi kukaa zako mahali ,maybe ukae zako alone bila bughudha uenjoy, unywe zako mbili tatu,ucheze mziki/usikilize mziki yaani urefresh kwa kifupi kimpango wako.
Sasa ukikaa zako lazima aje mwanaume akuombe kukaa na wewe akumiliki as if umekuja nae. kwani lazima ukiona mwanamke kakaa mwenyewe umfate? unaaza usumbuuufu why lakini? mbona sisi tukiwakuta mmekaa wenyewe hatuwafati bwana?
wengine anakuomba kabisa naomba hata soda moja ukisema poa linakunywa kweli,hata haogopi kununuliwa na mwanamke! daaah tuacheni tupumue? leo natembea na kiwembe
inatokea mwanamke unamua zako wkend kama hivi kukaa zako mahali ,maybe ukae zako alone bila bughudha uenjoy, unywe zako mbili tatu,ucheze mziki/usikilize mziki yaani urefresh kwa kifupi kimpango wako.
Sasa ukikaa zako lazima aje mwanaume akuombe kukaa na wewe akumiliki as if umekuja nae. kwani lazima ukiona mwanamke kakaa mwenyewe umfate? unaaza usumbuuufu why lakini? mbona sisi tukiwakuta mmekaa wenyewe hatuwafati bwana?
wengine anakuomba kabisa naomba hata soda moja ukisema poa linakunywa kweli,hata haogopi kununuliwa na mwanamke! daaah tuacheni tupumue? leo natembea na kiwembe
smile,ukijisikia kukaa bila usumbufu nenda hotel zenye hadhi wanatenga hadi sehemu ya kukaa alone!wanaume ni wawindaji daima hutakaa uwabadili milele!
inatokea mwanamke unamua zako wkend kama hivi kukaa zako mahali ,maybe ukae zako alone bila bughudha uenjoy, unywe zako mbili tatu,ucheze mziki/usikilize mziki yaani urefresh kwa kifupi kimpango wako.
Sasa ukikaa zako lazima aje mwanaume akuombe kukaa na wewe akumiliki as if umekuja nae. kwani lazima ukiona mwanamke kakaa mwenyewe umfate? unaaza usumbuuufu why lakini? mbona sisi tukiwakuta mmekaa wenyewe hatuwafati bwana?
wengine anakuomba kabisa naomba hata soda moja ukisema poa linakunywa kweli,hata haogopi kununuliwa na mwanamke! daaah tuacheni tupumue? leo natembea na kiwembe
Mkuu... unaweza nitajia hotel kadhaa ambazo huwa wanatenga sehemu maalum ya kukaa alone!!! Make nami huwa napenda kukaa alone sometimes......
nimekuwa nikifatilia maoni yako mara nyingi kuhusu wanaume, una perception mbaya sana kuhusu wanaume, sijui walikukosea nin! au we msagaji nin. maana wasagaji ndo huwa hawapendi hata kusikia mwwanaume. badilika dada yangu.inatokea mwanamke unamua zako wkend kama hivi kukaa zako mahali ,maybe ukae zako alone bila bughudha uenjoy, unywe zako mbili tatu,ucheze mziki/usikilize mziki yaani urefresh kwa kifupi kimpango wako.
Sasa ukikaa zako lazima aje mwanaume akuombe kukaa na wewe akumiliki as if umekuja nae. kwani lazima ukiona mwanamke kakaa mwenyewe umfate? unaaza usumbuuufu why lakini? mbona sisi tukiwakuta mmekaa wenyewe hatuwafati bwana?
wengine anakuomba kabisa naomba hata soda moja ukisema poa linakunywa kweli,hata haogopi kununuliwa na mwanamke! daaah tuacheni tupumue? leo natembea na kiwembe
babu ushasema enzi zetu sasa mambo kidigital.......