Wanaume kwani lazima???? Kuweni fair

Wanaume kwani lazima???? Kuweni fair

nimekuwa nikifatilia maoni yako mara nyingi kuhusu wanaume, una perception mbaya sana kuhusu wanaume, sijui walikukosea nin! au we msagaji nin. maana wasagaji ndo huwa hawapendi hata kusikia mwwanaume. badilika dada yangu.

Mwongo wewe Smile sio msagaji ni mdogo wangu wa damu acha kumharibia jina btw ukweli unauma
 
Last edited by a moderator:
Nimechekaje mimi kha?

sio soda tu Smile wanataka bia kabisa ama whisky au wine na linaomba lift ya gari eti ulipeleke home "Bure kabisa"

Mmmmh.....ya kweli haya?!!!!..
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh.....ya kweli haya?!!!!..

hamna cha kwel hapo huyu ana bifu tu na wanaume, otherwise umri wake umeenda na anaonekana hana mme hvyo vi playboy ndo vinamfuata na kufanya as sukari mamay,
 
Wanawake sijui lipi jema kwenu. Mkifuatwa-fuatwa mnakuja kulalamika JF. Msiposemeshwa manakuja kulalamika JF.
 
Mmmmh.....ya kweli haya?!!!!..

I Dena Amsi naapa kuwa yale nayosema ni kweli tupu eee Mungu nisaidie. Tena anakopa na pesa eti usionekane unanunua wewe tu ha ha ha wanaume suruali wamejazana kibao tena wakijua una USD? Kwisha habari
 
hamna cha kwel hapo huyu ana bifu tu na wanaume, otherwise umri wake umeenda na anaonekana hana mme hvyo vi playboy ndo vinamfuata na kufanya as sukari mamay,

Unaumwa wewe alokwambia sina mwanaume nani na ndoa yangu uliifungisha wewe pale St. Joseph? BTW umri wangu umekwenda kweli sina haja na viserengeti My Husband is my everything right? Got it?
p
 
inatokea mwanamke unamua zako wkend kama hivi kukaa zako mahali ,maybe ukae zako alone bila bughudha uenjoy, unywe zako mbili tatu,ucheze mziki/usikilize mziki yaani urefresh kwa kifupi kimpango wako.

Sasa ukikaa zako lazima aje mwanaume akuombe kukaa na wewe akumiliki as if umekuja nae. kwani lazima ukiona mwanamke kakaa mwenyewe umfate? unaaza usumbuuufu why lakini? mbona sisi tukiwakuta mmekaa wenyewe hatuwafati bwana?

wengine anakuomba kabisa naomba hata soda moja ukisema poa linakunywa kweli,hata haogopi kununuliwa na mwanamke! daaah tuacheni tupumue? leo natembea na kiwembe

Short and Clear, SI LAZIMA!
Lakini tusisahau kwamba kuna Idadi ya wanawake na wanaume wa kutosha ambao wanaenda sehemu hizo ili pamoja na mambo mengine, ni pamoja na kupata kampani! So, ukijengeka utamaduni wa kuwapotezea wadada waliokaa pekee yao itakuwa ni kuwanyima haki wale waliokuja kwa ajili ya kampani! Now, is up to you kuonesha you're not there for a company! Tembea na kapelo, au Wallet ya kiume kisha weka pembeni ya pale ulipokaa uone kama patatokea wa kukufuata!
 
Inzi hufuata uchafu,macho kodokodo kila mwanaume anayepita,kuvaa nusu uchi kuonyesha bidhaa ulizonazo,usiku wa manane baa. mkiya solve hayo mijeba itapita mbali............kama roketi.
 
inatokea mwanamke unamua zako wkend kama hivi kukaa zako mahali ,maybe ukae zako alone bila bughudha uenjoy, unywe zako mbili tatu,ucheze mziki/usikilize mziki yaani urefresh kwa kifupi kimpango wako.

Sasa ukikaa zako lazima aje mwanaume akuombe kukaa na wewe akumiliki as if umekuja nae. kwani lazima ukiona mwanamke kakaa mwenyewe umfate? unaaza usumbuuufu why lakini? mbona sisi tukiwakuta mmekaa wenyewe hatuwafati bwana?

wengine anakuomba kabisa naomba hata soda moja ukisema poa linakunywa kweli,hata haogopi kununuliwa na mwanamke! daaah tuacheni tupumue? leo natembea na kiwembe

Mkuu sijakuelewa hata kidogo! Kwa nini unakuwa "msemaji" wa wanawake wote? Kwa nini usijisemee mwenyewe kwamba hutaki bughudha? Ikiwezekana kabisa weka "label" usoni kwamba wewe hauko available! (joke)!
 
The issue kama mke wa mtu akiona pete atajikataaa. Na kama mchmba ataona ingeji kidoleni atajikaaa! Ila kama huna any of the above ni SURVIVAL OF THE FITTEST TU!

Hahaa haaaa chezea "TUNATAKA MKE WAKO" weye....
 
kama nipo available au sipo available inamuhusu nini mkuu? kila mtu si kaenda kwa starehe zake?
by the way sehemu za kistaarabu ni kama zipi hawaongeleshi mtu maana hapa nazungumzia viwanja vikubwa tu nimeona hii tabia.mtuache tupumue kwanza jamani?

lazima utakuwa hujiamini,kama unajiamini hilo wala halitokupa shida.......kama huvutiwi na maongezi au kampani yake si unampa makavu tu :becky:
 
Mkuu sijakuelewa hata kidogo! Kwa nini unakuwa "msemaji" wa wanawake wote? Kwa nini usijisemee mwenyewe kwamba hutaki bughudha? Ikiwezekana kabisa weka "label" usoni kwamba wewe hauko available! (joke)!
mbona nyie hatuwasumbui kwani huwa mna lebel mkuu? nyie tulieni wenye shida hizo watawafata
 
mbona nyie hatuwasumbui kwani huwa mna lebel mkuu? nyie tulieni wenye shida hizo watawafata

Mkuu Smile,
Nafikiri usiyetaka "kusumbuliwa" ni wewe, au nimekosea kuwa hili ni suala binafsi? Na kama kuna mwingine asiyetaka "kusumbuliwa" naye atajieleza at a right time! Kwa hiyo kusiwe na
GENERAL RULE kwamba mkikutwa mmekaa mahali fulani "msisumbuliwe!"
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom