Wanaume kwani lazima???? Kuweni fair

Wanaume kwani lazima???? Kuweni fair

Mifala hasa. Halafu sometime umevaa pete hasa. Baboons.
 
mkitukanwa mnaona tunaringa

Ha ha ha Smile.. Unajua hata simba wakati anamuwinda swala.. lazima ahangaike.. maana swala ana kila aina ya mbwembwe..
Anyway kurudi katika mada yako ya msingi.. mfume dume (ambao hata wewe unaukubali upo na unafanya kazi) ndo chanzo cha yote haya.. Mpaka kesho mawazo vichwani mwa wanaume (na hata wanawake) mtoto wa kike utakapoenda bar pekeyako then au uko kwenye mawindo au unamsubiri mwanaume.. Pombe inajulikana inavyoleta vishawishi.. Ni juu yenu kupambana na mfumo huu kwa hili tatizo..

Another thing.. Haya mambo ya kukutwa bar au sehemu nyingine yeyote na mwanaume kufuatwa ndo nature ya tulivyoumbwa.. Wanaume tunavutwa kwa watoto wa kike.. Au unasemaje
Smile?
 
ulivosema ni kweli .bora wewe ni mwelewa yaani ukionekana eneo wanajua umeenda kuuza! daah,
 
ahaaaa acha tu best yangu , hadi yesu wangu arudi nitakomaje?

Best tatizo wewe umejiweka tayari tayari kupiga chini yeyote utakayehisi ni janga! Ungekuwa unawapotezea kiaina bila kujipa stress wasingekusumbua kichwa! Lol!
 
inatokea mwanamke unamua zako wkend kama hivi kukaa zako mahali ,maybe ukae zako alone bila bughudha uenjoy, unywe zako mbili tatu,ucheze mziki/usikilize mziki yaani urefresh kwa kifupi kimpango wako.

Sasa ukikaa zako lazima aje mwanaume akuombe kukaa na wewe akumiliki as if umekuja nae. kwani lazima ukiona mwanamke kakaa mwenyewe umfate? unaaza usumbuuufu why lakini? mbona sisi tukiwakuta mmekaa wenyewe hatuwafati bwana?

wengine anakuomba kabisa naomba hata soda moja ukisema poa linakunywa kweli,hata haogopi kununuliwa na mwanamke! daaah tuacheni tupumue? leo natembea na kiwembe

Smile, Smile, naomba ujue wanaume tumeumbwa kama wanyama wawindaji eg simba, chui, cheater, n.k hivyo kila tuwapo tupo mawindoni ila inatofautiana na userious wa mawindo kama simba wanavyocheza na swala kama wameshiba. Mwanamme mstaarabu ukimwambia huitaji company anaheshimu maamuzi, Mwanamke mstaarabu akiombwa company anajibu kiungwana.
 
Alieko mwituni mwindaji..... Sasa kibao cha nini?wewe ndo unatakiwa uwe nacho....Riziki ya mbwa iko miguuni mwake kalghabaho,

usumbufu pia sehemu ya starehe dada ama!ungekuwa na sura kama sokwe waala huu uzi usinge uleta!

ni ushauri tu!
 
sina hata sura nzuri mkuu,wanataka tu kunimega waniteme
 
Best tatizo wewe umejiweka tayari tayari kupiga chini yeyote utakayehisi ni janga! Ungekuwa unawapotezea kiaina bila kujipa stress wasingekusumbua kichwa! Lol!
ngoja niingie zangu hapa nanilii
 
ulivosema ni kweli .bora wewe ni mwelewa yaani ukionekana eneo wanajua umeenda kuuza! daah,

Ila ukikomaa na wakawa wanakuona mara kwa mara unaenda kupunguza stresses kwa kunywa na kisha unasepa.. watakupa respect sana Smile.. Icikukwaze hiyo.. Jipe raha mwenyewe dear.. Ukisubiri kupewa itakuwa mixer na karaha.. na pengine na kale kasangunda..
 
Dah sasa hao Popo....

hapo nakuunga mkono...kutu mind

Ila utuwie radhi tu maana kuna wale wengine dhamira na mwili huwa vinakosa ushirikiano kwa unacho kiona mbele!
 
Halafu sometime uikute imekaa kikundi inanong'onezana sijui wanaambizana nani wa kukuapproach? Halafu mmoja anakuja smiling sheepishly ''samahani dada, tulikuwa tunaomba utupe kampani'' kampani my as.s. Nyoooo.
 
Pole sana huko kwenu mpaka leo mnanunuliana vinjwaji?? na wewe unakahuruma kweli.....sasa kwanini umnunulie jitu lillovaa suruali ulabu???.......wakoloni wananifurahisha kweli unakuta mtu katoka na mke?mume/BF/GF mkifika maeneo ya starehe hamjuani.......
Wajerumani? Maana huwa wanakukaribisha kukupa ofa. Usidhani ni ofa ya kukulipia, bali ni ile ya kuketi naye na kuongea tu hata ukiwa mwenzi. Hayo ndo maisha, si kuwa tegemezi ingawa nasikiaga akina kaka wanadai kuwa 'ati aninyime k na hela yake nisiile'.
 
sio bar tu bwana yaani popote ,beach disco

Huko beach si ndo kwenye wanawake waendao nusu uchi? Huko ndo kabisa udhu wangu hauniruhusu.

Disco ndo kabisaaa!

Tuambie hao wanaume ni wa sampuli gani? Maana hata Papa Benedict naye mwanamme,ukijumuisha wanaume wote utakuwa unatenda dhambi ya mtego wa panya ukamatao waliokusudiwa na wasiokusudiwa.

Wengine tunajiheshimu na kuheshimika.

Hata mwanamke akipiga uturi kwa sana lazima tufunge sio tu pua, bali hata macho, huku tukipiga sala kama tupo Opus Dei.
 
Smile kwani we ni mlevi, Sikujua kumbe naweza kuja kulewa chumbani kwako au vipi:dance:
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha
pole kwa usumbufu hii ni kawaida sana, hila hapo kwenye kuomba hadi soda babukubwa!

Kwani ina maana ulishindwa kumwambia kuna mtu wako una msubiri hapo?

Back
Top Bottom