Wanaume kwani lazima???? Kuweni fair

Wanaume kwani lazima???? Kuweni fair

Ndio nasema kuwa si kila aitaye bwana bwana ataurithi uzima wa milele..
Wengine they are just good friends..ukiona anakubore you just tell him kwamba kuna njemba unamsubiri..lazima aufyate...Kumbuka always the fruit does not fall far from the tree..na mti wenye matunda ndo upigwao mawe...

sio fair bwana taratibu jamani
 
Dah! Mandeleo ni kitu cha ajabu sana...!

Yaani Mwanamke anatoka nyumbani kwake anaenda baa peke yake kwa ajili ya ku-refresh?

Ku-refresh maana yake nini wakati upo mpweke?
kwani shida ipo wapi? kwani kurefresh kwako ni nini mkuu?
kusex au vp? unadhani refreshment ya mwanamke ni mwanaume au ni nini sijakusoma
 
Sasa dada smile kwani ukitongozwa kuna ubaya gani?Mbona hata sisi wanaume tukienda hivyo viwanja peke yetu tunawakomaje mabarmaid na wale waliopo mawindoni. Mimi naona kama unaona anakuzingua mpe makavu tu lakini hilo kulikwepa ni ngumu sana.
 
saa zingine kichwa kimejam mtu unaitaji space bwana. mtuache kidogo
 
inatokea mwanamke unamua zako wkend kama hivi kukaa zako mahali ,maybe ukae zako alone bila bughudha uenjoy, unywe zako mbili tatu,ucheze mziki/usikilize mziki yaani urefresh kwa kifupi kimpango wako.

Sasa ukikaa zako lazima aje mwanaume akuombe kukaa na wewe akumiliki as if umekuja nae. kwani lazima ukiona mwanamke kakaa mwenyewe umfate? unaaza usumbuuufu why lakini? mbona sisi tukiwakuta mmekaa wenyewe hatuwafati bwana?

wengine anakuomba kabisa naomba hata soda moja ukisema poa linakunywa kweli,hata haogopi kununuliwa na mwanamke! daaah tuacheni tupumue? leo natembea na kiwembe
Usitembee na wembe tu, andaa na beba ile kadi kama zile zinazoning'inizwa kwenye milango ya vyumba vya hoteli - DONT DISTURB ili watu wakiona tu wajue LOL
 
mbona watu kibao wamevaa mipete na hawana ndoa wala nini? wengine ni single tu wameachika nk.
so mwanamke ukitoka ni kama swala umejipeleka kwa mbwa mwitu?

Look it in a different perspective!

1. Bili inalipwa yote.

2.Unapata new company ya kuoshea kinywa mda huo.

3.You never know huyo uliekutana nae ni nani mjini humu!!!!!

4.With new people sky is the limit!
 
Ndio nasema kuwa si kila aitaye bwana bwana ataurithi uzima wa milele..
Wengine they are just good friends..ukiona anakubore you just tell him kwamba kuna njemba unamsubiri..lazima aufyate...Kumbuka always the fruit does not fall far from the tree..na mti wenye matunda ndo upigwao mawe...
sijui nitoke vipi leo .nataka kuwa mwenyeweeeee! ila hupumui
 
Dah! Mandeleo ni kitu cha ajabu sana...!

Yaani Mwanamke anatoka nyumbani kwake anaenda baa peke yake kwa ajili ya ku-refresh?

Ku-refresh maana yake nini wakati upo mpweke?
habari za miaka mingi Baba_Enock, Dena Amsi hajambo? namwona kwenye malalamiko tu, sijui status ipoje, lol!
wewe unashangaa hii? bar ndo kuna upepo mwingi bwana, acha tuka-refresh
 
Last edited by a moderator:
kwani shida ipo wapi? kwani kurefresh kwako ni nini mkuu?
kusex au vp? unadhani refreshment ya mwanamke ni mwanaume au ni nini sijakusoma

"Ku-refresh" ni "kutafuta fikra mpya" kuhusu mazingira yanayokuzunguka - Sidhani kama kwenda "baa" kupata kileo ni "ku-refresh"...! Kwenda kucheza muziki ni "kutafuta uchovu" na siyo "ku-refresh"...!
 
Look it in a different perspective!

1. Bili inalipwa yote.

2.Unapata new company ya kuoshea kinywa mda huo.

3.You never know huyo uliekutana nae ni nani mjini humu!!!!!

4.With new people sky is the limit!
1. Bili inalipwa yote... sina tamaa nakunywa maji makubwa 3000

2.Unapata new company ya kuoshea kinywa mda huo...i need space sio kila lazima uwe unaongea

3.You never know huyo uliekutana nae ni nani mjini humu!!!!!....mmmh wengi wazushi tuu

4.With new people sky is the limit
 
wengine anakuomba kabisa naomba hata soda moja ukisema poa linakunywa kweli,hata haogopi kununuliwa na mwanamke! daaah tuacheni tupumue? leo natembea na kiwembe

Smile umenichekesha sana! Vipi majanga bado yanakufuata?
Kiwembe ni hatari hata kwako dear, bora utembee na bisibisi kama wapiga debe wa daladala!
 
Smile umenichekesha sana! Vipi majanga badoyanakufuata?
Kiwembe ni hatari hata kwako dear, bora utembee na bisibisi kama wapiga debe wa daladala!
ahaaaa acha tu best yangu , hadi yesu wangu arudi nitakomaje?
 
habari za miaka mingi Baba_Enock, Dena Amsi hajambo? namwona kwenye malalamiko tu, sijui status ipoje, lol!
wewe unashangaa hii? bar ndo kuna upepo mwingi bwana, acha tuka-refresh

Nzuri @FP...! Dena Amsi nilikuwa naye jana maeneo ya Mbalamwezi - Mikocheni, na leo weekend tunaazia "Baa Mpya - Boko Magengeni" - Njia panda ya Mbweni - Karibu sana.

Malalamiko ni njia mojawapo ya "ku-refresh"...!
 
"Ku-refresh" ni "kutafuta fikra mpya" kuhusu mazingira yanayokuzunguka - Sidhani kama kwenda "baa" kupata kileo ni "ku-refresh"...! Kwenda kucheza muziki ni "kutafuta uchovu" na siyo "ku-refresh"...!
sinywi hata pombe mkuu napenda tu mziki
 
Nzuri @FP...! Dena Amsi nilikuwa naye jana maeneo ya Mbalamwezi - Mikocheni, na leo weekend tunaazia "Baa Mpya - Boko Magengeni" - Njia panda ya Mbweni - Karibu sana.

Malalamiko ni njia mojawapo ya "ku-refresh"...!
ha ha haaaaa copy Smile
maana huyo dada kamrusha sana my wife wako hapa, bora kajionea hii na Dena sasa atapumua.......
huko maeneo nitapita. ila sasa hii mialiko ambayo haina muda wala siku hii si mwanzo wa kuambiana tulikuwa hapo jana kumbe unazugwa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom