wanaume kwani boxer sh ngapi? mnatia aibu

wanaume kwani boxer sh ngapi? mnatia aibu

Smile huyu director ni mume wako nini unaamua kumdhalilisha maana naona mapicha kedekede kama ulikuwepo kwenye tukio. kuwa director sio kuwa na hela
 
yaani ni aibu tupu ehee Mungu nusuru kizazi chetu na Taifaletu la Tanzania
tunakwenda wapi sasa jamani heee yaani sijui kwanini nili.:faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2:
 
Hilo taulo ni rangi yake, sio chafu!
Hiyo chupi ya mwanaume ndiyo fasheni yake, haijachoka!
Kilichoharibika hapo ni tendo la kufumaniwa tu!
 
halafu kama ana kibamia, kitu flat kabisa hapo mbele utafikiri na yeye ana K

Chezea kufumaniwa wewe? Halafu mbele ya Camera? Halafu "Staa bongo?"....Hadi akili inakuwa flati nashangaa tu kwanini hizo tumbo hazijayeyuka!
 
,......aiseee! Smile bana, hehehe...
Acha tu nisi comment, maana...
 
Last edited by a moderator:
Hilo taulo ni rangi yake, sio chafu!
Hiyo chupi ya mwanaume ndiyo fasheni yake, haijachoka!
Kilichoharibika hapo ni tendo la kufumaniwa tu!

ndio mana nasemaga ni upuuzi wa hali ya juu "kufumaniwa" kama mtu unaona huliwezi gemu kwanini usitulizane kuliko kudhalilika kiasi hiki? mdada wa watu masikini anatia huruma kweli hapo anapovaa kipusa chake na wanaume wanamkodolea macho, PJ hilo chupi la mwanaume ndio fasheni yake? hii fasheni isimfikie nimpendae kwa kweli iishie huko huko kwa wajua fasheni wenyewe.
 
Chezea kufumaniwa wewe? Halafu mbele ya Camera? Halafu "Staa bongo?"....Hadi akili inakuwa flati nashangaa tu kwanini hizo tumbo hazijayeyuka!

bongo ina mastaa balaa kabisa, mie nilivyoonaga picha za yule wa komedi sijui nae nikamsoma ni star nilichoka kabisaa, oteee mbe! kama mastaa wenyewe ndio hawa haya bwana wacha wengine tubakie waangaliaji wa mastaa wetu.
 
82.jpg
sasa kumbe alitumia kifuko shida iko wapi, teyari demu anaonyesha anamjali mume wake.
 
Hivi inawezekana walengwa wakawa member wa mmu e!
Jeez! Kudhalilishwa kote huko kisa uchi.. aaaaaah!
 
Daaah,
Hapa kama vile kila kitu hakieleweki vizuri,
Hiki chumba nacho mmmmh.

Ila nguo za ndani siyo mbaya saaaana;
na mara nyingi wanaume wenye pesa
siyo wote wanaojipenda sana
.

Mhhhh...Mshiki noamba kyi? Nuichi wenga mkoya!! Aione Nyamayao.
 
Last edited by a moderator:
ndio mana nasemaga ni upuuzi wa hali ya juu "kufumaniwa" kama mtu unaona huliwezi gemu kwanini usitulizane kuliko kudhalilika kiasi hiki? mdada wa watu masikini anatia huruma kweli hapo anapovaa kipusa chake na wanaume wanamkodolea macho, PJ hilo chupi la mwanaume ndio fasheni yake? hii fasheni isimfikie nimpendae kwa kweli iishie huko huko kwa wajua fasheni wenyewe.

Ila sijui ni macho yangu au....Mbona bidada kama vile hajamind?? Yaani yuko poa tu....au wewe Smile hujaliona hilo?

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom